HAFLA YA JAMBO LEO KUMUAGA BONIFACE WAMBURA

Mhariri Mkuu wa Jambo Leo, Boniface Wambura (wa pili kushoto),ambaye ameteuliwa kuwa Ofisa Habari wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), akikabidhiwa zawadi ya kompyuta ndogo iliyotolewa na uongozi wa Kampuni ya Jambo Concepts Tanzania Limited (JCTL), wakati wa hafla ya kumuaga Dar es Salaam leo. Kutoka kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa JCTL, Juma Pinto, Meneja Mkuu, Ramadhani Kibanike, Mkurugenzi, Benny Kisaka na  Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Perfect Solutions, Evance Aveva ambaye ni Mshauri wa JCTL.

Wafanyakazi wa Kampuni ya Jambo Concepts Tanzania Limited (JCTL), inayochapisha gazeti la Jambo Leo na Jarida la Jambo Brand Tanzania, wakigongeana vinywaji na Mhariri Mkuu wa gazeti  hilo, Boniface Wambura (katikati) kumtakia heri katika kazi yake mpya ya Ofisa Habari wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), anayoianza kesho.
Hafla hiyo ya kumuaga ilifanyika chumba cha habari cha gazeti hilo, Dar es Salaam

Mkurugenzi Mkuu wa JCTL, Juma Pinto akitoa nasaha
wakati wa hafla hiyo.

Mwandishi wa habari wa gazeti la Jambo Leo, Said Mwishehe akielezea jinsi anavyomfahamu kwa
utendaji kazi, Wambura.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

Wasifu wa Kizza Besigye

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA