LADY JD AZINDUA MAJI YAKE

Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Judith Wambura 'Lady Jay Dee' akinywa maji yenye nembo ya jina lake baada ya kuyatambulisha katika  mkutano na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo. JD ameingia mkataba na Kampuni ya Mohamed Enterprises Limited inayozalisha maji hayo. Pia msanii huyo ametangaza maandalizi ya uzinduzi wa Mgahawa wake wa Nyumbani Lounge uliopo Namanga jijini.

Mdau Shamim Mwasha akichukua picha za hafla hiyo

Wanamitindo Fide Ilanga na Flaviana Matata wakishuhudia wakati JD akielezea biashara anazotaka kuzifanya ukiwemo mradi huo wa maji

JD akiwa na Mkurugenzi wa Rock Stars Chritine Mosha ambaye akampuni yake hiyo itahusiiak kupromoti muziki wake ndani na nje ya nchi.

JD 9katikati) akiwa na wageni waalikwa katika hafla hiyo miongoni mwao akiwemo Meneja Uhusiano wa benki ya NMB, Shy-Rose Bhanji 9wa pili kulia)

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

Wasifu wa Kizza Besigye

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA