LIGI YA UNDER 20 YAPAMBA MOTO DAR


 Mchezaji wa Ruvu Shooting Stars akiambaa na mpira katika mashindano la Ligi Kuu ya Soka ya Vijana chini ya umri wa miaka 20 leo kwenye Uwanja wa Karume,
Dar es Salaam. Pilisi Dom ilishinda bao 1-0. (PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA).
                                                  Do! kasheshe inaendeleo

 Moja ya hekaheka iliyotokea langoni mwa timu ya Polisi Dodoma dhidi ya Ruvu Shooting Stars katika mashindano la Ligi Kuu ya Soka ya Vijana chini ya umri wa miaka 20 jana kwenye Uwanja wa Karume,
Dar es Salaam.
 Mchezaji wa Ruvu (kulia) akigombea mpira na mchezaji wa Polisi Dodoma
Ni patashika nguo kuchanika

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

Wasifu wa Kizza Besigye

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA