Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Shamsi Vuai Nahodha (suti nyeusi) leo jijini Dar es salaam akikata utepe wa uzinduzi wa mradi wa jeshi la polisi  wa kutumia Doria kwa baiskeli katika kata. Pichani Meneja Masoko wa  Home Shoping Centre (HSC) Fatma Washoto akishika utepe katika uzinduzi wa mradi huo ambapo Kampuni yake imetoa  baskeli 100  kwa jeshi la Polisi.  Picha na Mwanakombo Jumaa-Maelezo)

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

Wasifu wa Kizza Besigye

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA