CHUO KIKUU MAKUMIRA ARUSHA WAANDAMANA

Wanafunzi wa Chuo Kikuu kishiriki cha Makumira, Arusha, wakiwa wanaandamana katikati ya

barabara ya Arusha-Moshi na mabango jambo ambalo lililosababisha magari kushindwa kupita

barabarani hadi polisi walipokuja kuwatawanya kwa mabomu ya machozi mchana huu.
Picha na Woinde Shizza wa Globu ya Jamii, Arush

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

KIGOGO WA CHADEMA AHAMIA CCM

RAIS SAMIA SIO RAIS JOYCE BANDA WA MALAWI, TANZANIA SIO KENYA

DKT. SAMIA AAHIDI KUJENGA CHUO CHA UHASIBU SONGEA

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA