1: Wanawake Wazuri Zaidi
๐Inahitaji roho takatifu tu kumfanya mwanamke mrembo awe ndani ya ndoa.Unaitaji Roho ya Samason katika eneo hili,Maana Mwanamke akiwa mzuri sana akili zake zinahamia kwenye uzuri wake,Anaamini atakuwa mzuri milele,Anaamini ya kwamba Yeye ni dhahabu nyinyi wengine viroboti,Huye acheki na wowote maana utaumiza wake moyo /Wanatafuta mwana mwenye pesa ili waendelee kuhudumia mwili wao,Mwanamke mzuri hawezi kuwa na mapenzi ya kweli labda kidogo sana kama amelelewa na kufunzwa vyema lakini Anaamini ya kwamba anapendwa na kila mtu na Wanawake Wazuri ukimkuta ana akili za kujitegemea basi unabahati Sana,Wanawake Wazuri huwa hawanaga akili timamu na ndiyo wanaongoza kwa kutumika sana,Wanachoka mapema maana wameugeuza mwili wao kuwa shamba La Marehemu,Kwa nje kapendeza lakini ndani ametumika balaa tupu wanapambana kutafuta mwanaume mwenye na ndivyo wanavyotumika maana Wanaume pia hawaoagi Wanawake Wazuri Ila Wanaume wanawapenda Wanawake Wazuri kwa matumizi tu lakini siyo kwa ajili ya kujenga familia....!!..
√Kama unataka Wanawake Wazuri wa Maumbo tafuta pesa ndugu yangu lakini hata ukiwa pesa Wanawake Wazuri watakusumbua maana Wanawake Wazuri hawajui Wanataka nini..?
Wanawake Wazuri
wanashindwa kudumu kwenye ndoa zao kwa sababu....
๐Wako kwenye mahitaji makubwa
๐Wanadada wengi warembo bado hawajaoa na hawajaolewa na wengine ni masingle Mathers wanajiita "SUPER WOMAN" na unaendelea kujiuliza ni nini kinawasibu au ni Liliths anawapa Nguvu.
๐Hawawezi kudumu kwenye ndoa kwa sababu Wanatumia uzuri wao kama mtaji wa kutengeneza pesa ndiyo maana wengine wanageuka kuwa "Expensive Bitches " Wanawaza pesa tu na hata wakipata mwanaume mwenye pesa Wanataka KUISHI kama Liliths,Hawataki shida na wengi hawajui Kupika ๐๐.
2:. Wanawake Wenye Elimu Zaidi
๐Mwanamke akiwa na degree, masters, PhD inabidi abaki kwenye ndoa ni neema ya Mungu.Yaani Wanawake wasomi hawa mnaokimbilia kuoa eti mimi nimeoa msomi umeoa msomi umeoa shetani,Mwanamke msomi anataka Uhuru kama Liliths,Mwanamke msomi anaamini kwenye cheti chake lile karatasi alilopewa akiwa anamaliza Chuo.Ndoa nyingi zinazovunjika kwa wingi Afrika ni ndoa za Wasomi hata Tanzania Wasomi Wanaongoza kuvunja ndoa zao /Maana kule chuoni ameambiwa haki zake sasa sijui Mwanamke anataka haki kwenye ndoa haki gani ๐คฃ๐คฃ/Mwanamke msomi sana ameshakuwa brainwashed na mambo ya magharibi,Ndiyo hawa kutwa nzima yupo TikTok kudadeki tena wanaitwa "VITOTO VYA 2000" ni tatizo kubwa sana na Wale wengine wanasema wao wanaujua mji tangu miaka ya "90" hawa Wasomi wa Leo walishaolewa uko chuoni miaka 3 ilipoisha wanakuja kuolewa tena mtaani,Hawa Wasomi wao wanasema wanajitambua huwezi kuwapelekesha pelekesha kienyeji Enyeji maana walishapelekeshwa uko/.
๐Sifa zao huwafanya wawe huru.Tembelea ofisi katika makampuni, wanawake wengi walio na nafasi za juu na matajiri ni waseja, wametalikiana na waume zao,Wanawake wengi ambao wameajiriwa na matajiri kwenye makampuni makubwa hawana ndoa walishakimbia maana Waliona Ndoa ndoani ๐ na wanawake hawa Mara nyingi wao ndiyo wanaoaga Wanaume ambao watawaabudu Wao na kuwapigia Magoti.
3: WANAWAKE KUTOKA KWA FAMILIA TAJIRI
๐Naonaga Vijana wananitamba uko mtaani kisa wameoa kwenye familia za kitajiri asijue ya kwamba ameoa gunia La misumali,Wanaume wengi ambao wameo kutoka kwenye familia za kitajiri wanaamini ya kwamba watakuwa sehemu ya urithi wa Mali za mwanamke ๐yaani Vichwa vikubwa akili za Mende daadeki. Wanawake wanaolelewa chini ya familia za kitajiri ni ngumu kuolewa kwa sababu wanataka mazingira yale yale waliyokulia nayo ndoa.
๐Hawataki kuwashauri
Mwanamke atoke kwenye familia ya kitajiri Aolewe na Mwanaume Masikini labda kama kafuata Upwipwi na Upwilimbi,Mwanamke kutoka kwenye familia ya kitajiri anapoolewa anataka Maisha aliyokuwa anaishi kwao ya kitajiri ndiyo ayakute kwa mwanaume ambaye ni kapukuku na mkizinguana kidogo tu utasikiaa kwani kwetu nimeuwa siwezi kuteseka hapa wakati kwetu kuna kila kitu sijafata mashine hapa maana nikiamua nazipata hata mtaani kwetu...!!
4: Wanawake Wapakwa Mafuta Sana Wa Mungu yaani Watumishi.
๐Wanawake wengi walio na wito wa Mungu hawana waume, ama wameachika ,Hata hawa waimbaji,wanajifanya wanamuimbia Mungu we aangalia Maisha Yao wameachika,wakina Nkone,Wakina Shushu,Wakina Bahati Bukuku,Wakina Muhando,Wakina Martha Mwaipaya,Wakina Beatrice Mwaipaya na waimba wote wa kike hawako kwenye ndoa na bado wamekimbilia kufungua makanisa "WE HUOGOPI" alisema Suzibale...!!
๐Hakuna wakati wa kufanya kazi za nyumbani,Mda mwingi wako bize na Mungu wao.
๐Hakuna muda wa kuwajali waume zao,Mambo ya familia wao wanaona kama Anasa.
๐Waume zao hawawezi kuwashauri kwa sababu wanasikiliza tu kutoka kwa roho mtakatifu.Yaani wanawaona waume zao kama Vikaragosi Fulani wanakwambia "MWANAUME WA KWELI NI YESU PEKEE" wanawaamini Viongozi wao wa kiroho kuliko waume zao wa Ndoa,Ukiongea jambo lolote utawasikia Baba kasema,Wana mambo mengi ya hovyo sana Wakiona mambo magumu Wanatunga nyimbo utawasikia "NIFUNDISHE KUNYAMAZA " Ili wafiche matatizo Yao na hawa wanajiona wao ni moja kwa moja mbinguni yaani Mungu wanamuona kama ni mjomba wao,wanashindwa kutofautisha ya kwamba "MAMBO YA KIMUNGU YANABAKI KUWA MAMBO YA KIMUNGU" wao wanaficha uchafu wao kwa kujitambulisha ya kwamba Wao ni Watumishi wa Mungu siku hizi hata nyimbo za Kimungu hazina tofauti na Nyimbo Zingine.
Ndio Wanaume Wamesanuka,Japo wapo Wanaume ambao wanapenda kuoa wanawake wasomi,Sisi ambao tumefika mpaka Chuo tunajua wazi ya kwamba "WANAWAKE WASOMI WANA SHIDA" ndio maana unakuta mwanaume ana phd anaenda kijijini na kuoa mwanamke wa darasa la 5 au darasa la 7 anatafuta nini??? Kwa sababu huyo ndiye angemuelewa na kumheshimu zaidi/Wanawake ambao wamedumu kwenye ndoa zao ni Wale ambao hawajasoma wale ndiyo walezi Bora na walinzi wa familia,Siyo hizi taka taka wanaojifanya wamesoma na wengine wanajifanya wao ni Watumishi wa Mungu kumbe ni Malaya na washenzi wakubwa.
๐Kuimba nyimbo za Mungu kamwe hakukufanyi kuwa mke Bora lazima ujifunze kutenganisha majikumu yako ya ndoa na familia yako,Mna majina makubwa lakini ni waharibifu wakibwa na hamma maadili yoyote /kunena kwa lugha kamwe hakutakufanya kuwa mke Bora,Ndoa zao wameshindwa kuzisimamia lakini ni waumbaji Bora,Wamefunja ndoa zao lakini kanisani unakuta wanakenua eti wananena kwa lugha ni mwanamke mtiifu pekee ndiye atakayebaki kwenye ndoa na sio uzuri wala usomi wako na mengineyo eti mimi nimetoka kwenye familia ya kitajiri sasa si ungeolewa na Baba yako huko kwenu unakuja kusumbua watu,Eti mimi ni mtumishi wa Mungu sasa si Ukaolewe na Mungu huko.Maisha ya ndoa yanaitaji utulivu sana,Eti mimi ni msomi siwezi kubali mwanaume anitese sasa Funga ndoa na vyeti vyako ndoa inaitaji unyenyekevu wa hali ya juu.
๐Najua utaupinga ujumbe huu lakini usome tena na tena kabla ya kuupinga,Ukombozi wa kifikra na ukombozi wa kiuchumi,usiunyime ubongo wako maarifa.
Pata kitabu cha
"LAANA YA MADARAKA PESA NA DAMU "
๐40000\=
pamoja na Usafiri
๐0762155025
๐0782399723
Wako mjoli wa mambo
mpoki Buyah kaminah Mwandagasya /WABABE WA KIVITA NA HISTORIA YA DUNIA,UKUU WA MWA AFRICA NA UDUMU MILELE

Comments