MAMBO YA MWAKA 2004

kuna wadau wameomba kuona taswira hii ya mwaka 2004 wakati Kamanda Richard Mwaikenda (wa tatu kutoka kushoto) na wenzie walipokwenda jimbo la chalinze na JK kukagua athari za mafuriko huko. Mbele ni  ya ankal Muhidini Michuzi akifuatiwa na Jimmy Elias ambaye sasa ni marehemu, na JK wakati huo akiwa Waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa. mdomoni mwa anko ni kizibo cha biki sio fegi kama alivyodai mmoja wa wadau walioomba kuona tena taswira hii. hapo ilikuwa kafia mtu...

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

KIGOGO WA CHADEMA AHAMIA CCM

DKT. SAMIA AAHIDI KUJENGA CHUO CHA UHASIBU SONGEA

RAIS SAMIA SIO RAIS JOYCE BANDA WA MALAWI, TANZANIA SIO KENYA

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA