nmb yakatoa msaada wa tanki monduli

Ofisa Uhusiano wa NMB, Doris  Kilale (kushoto) akikabidhi msaada wa vifaa vya ujenzi wa tanki la maji kwa Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Monduli Juu, Elinuru Sumari (kulia). Wengine ni Meneja wa Benki tawi la Monduli.Asterina Mwigamba (wapili kushoto) na Ofisa Mikopo wa benki hiyo, Helga Nkini.  Tanki hilo litakuwa na uwezo wa kuhifadhi maji lita 600. Sherehe ya makabidhiano ilifanyika shuleni hapo jana.  (NA MPIGA PICHA WETU)

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

AINA 4 ZA WANAWAKE WASIOWEZA KUDUMISHA NDOA.

MVUA KUBWA KUNYESHA MIKOA 20

MIKOA 10 YENYE KIPATO KIKUBWA ZAIDI KWA MTU MMOJA MMOJA

BODABODA ALIPWA PIKIPIKI BAADA KUSAFIRI KWA BODA KWA SAA 10 MBEYA HADI DAR

MAPACHA WATATU FAMILIA YA MWAIKENDA WAPATA KIPAIMARA