PROMOSHENI YA HAMIS MA SMA YAFIKIA TAMATI

 Mwezeshaji wa promosheni ya Hamisi ma SMS Nixon Haule (kati) akibonyeza kitufe kuchezesha droo ya mwisho kumpata mshindi wa milioni 15 iliyofanyika katika ofisi za Zantel na. Bi Wazire M. Abdalla mkazi wa Malindi Zanzibar aliibuka mshindi. Wengine pichani ni William Mpinga (kushoto)Mkuu wa Mahusiano Zantel, Brian Karokola Kaimu Mkurugenzi Masoko Zantel (wa pili Kushoto) na Abdallah Hemedy Afisa kutoka bodi ya michezo ya bahati nasibu.

Hamisi ma SMS mwezeshaji wa promosheni ya Zantel akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na kufikia mwisho wa promosheni hiyo iliyoendeshwa kwa takribani miezi 3 na kuwafanya  wateja 109 kuwa mamilionea . Wakimsikiliza ni William Mpinga (kushoto) Mkuu wa Mahusiano Zantel na Brian Karokola (wa pili kushoto) Kaimu Mkurugenzi Masoko Zantel.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

WAZIRI BASHE APIGA MARUFUKU WASIOSOMEA KILIMO KUUZA PEMBEJEO

CHAMA KIPYA CHA WALIMU WAMUOMBA RAIS SAMIA AINGILE KATI MAKATO YA WANACHAMA WAO

IBENGE: YANGA SC WATAFUZU HATUA YA ROBO FAINALI.

NILIYOYABAINI KATIKA TRENI YA SGR DAR ,MORO HADI DODOMA … KADOGOSA REKEBISHENI MAMBO HAYA MTANIKUMBUKA