ATHARI ZA MABOMU DAR

Sehemu ya waathirika wa mabomu ya gongo la Mboto, wakiwa wamejihifadhi uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam. (PICHA NA RICHARD MWAIKENDA)

Katibu Mkuu wa Wizara  ya Afya na Ustawi wa Jamii, Blandina Nyoni (wa pili kushoto) akiagana na Mkurugenzi Mkuu wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbilii, Dar es salaam, Profesa Lawrence Museru baada ya Rais Jakaya Kikwete kuwafariji majeruhi wa milipuko ya mabomu  iliyotokea juzi usiku katika Kambi ya Jeshi la Wananchi (JWTZ)  namba 511 Gongo la Mboto. (PICHA NA KHAMIS MUSSA)

Mkazi wa Majohe, Agnella Mangoma akiwa hospitali ya Taifa ya Muhimbili, alikolazwa baada ya kujeruhiwa na milipuko ya mabomu ya Gongo la Mboto.

 Nyumba ya Isack Mwambete iliyopo Banana, ikiwa imelipuliwa na bomu na kusababisha mke wa Mwambete kujeruhiwa.

Mmoja wa watoto waliopoteana na wazazi wao akiwa amehifadhiwa Uwanja wa Uhuru,  Dar es Salaam. (PICHA NA RICHARD MWAIKENDA)

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

CHAMA KIPYA CHA WALIMU WAMUOMBA RAIS SAMIA AINGILE KATI MAKATO YA WANACHAMA WAO

IBENGE: YANGA SC WATAFUZU HATUA YA ROBO FAINALI.

NILIYOYABAINI KATIKA TRENI YA SGR DAR ,MORO HADI DODOMA … KADOGOSA REKEBISHENI MAMBO HAYA MTANIKUMBUKA

CHAKUHAWATA WANENA MAKUBWA--