๐ ๐ฎ๐ธ๐ฎ๐ฏ๐ถ๐น๐ฎ 10 ๐ฎ๐บ๐ฏ๐ฎ๐๐ผ ๐๐ธ๐ถ๐ธ๐ฎ๐ฎ ๐ธ๐ฎ๐ฟ๐ถ๐ฏ๐ ๐ป๐ฎ๐ผ, ๐ธ๐๐๐ผ๐ฏ๐ผ๐ฎ ๐ธ๐๐ป๐ฎ๐๐ฒ๐๐ฎ ๐ธ๐๐๐ฎ ๐ฟ๐ฎ๐ต๐ถ๐๐ถ ๐๐ฎ๐ถ๐ฑ๐ถ ⚠️ Kumbuka: Haya ni maoni na mitazamo ya kijamii tu, si kwamba kabila fulani lina mafanikio kuliko lingine. Mafanikio yanategemea juhudi, elimu, nidhamu na fursa. 1. Wasukuma Wana sifa ya kufanya kazi kwa bidii, hasa kwenye kilimo, ufugaji na biashara. Wengi huaminika kuwa wavumilivu katika kutafuta maendeleo. 2. Wachagga Hujulikana kwa moyo wa biashara, uwekezaji na kusaidiana kifamilia katika shughuli za maendeleo. 3. Wahaya Wana historia ndefu ya biashara, elimu na shughuli za uzalishaji zinazochochea maendeleo. 4. Wanyakyusa Wengi wanasifiwa kwa bidii katika biashara, kilimo na uwekezaji wa muda mrefu. 5. Wakinga Hujulikana kwa uchapakazi, nidhamu na uthubutu wa kutafuta fursa sehemu mbalimbali za nchi. 6. Waha Wana sifa ya kujituma katika biashara na shughuli mbalimbali za kiuchumi. 7. Wapare Mara nyingi husifiwa kwa kuthamini elimu, kazi na mipango y...
HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI
MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA
1. Wahiraki, Hawa ni wanawake wa jamii ya Wahiraki wa napatikana kaskazini mwa Tanzania wamezagaa mikoa ya manyara ni weupe Wana Umbo zuri wanavutia kwa Macho. 2. Warangi, Hawa ni wanawake jamii ya Warangi ni wazuri nywele zao ni asili ya waraabu weupe sura nzuri wanapatikana kondoa. 3. Wanyiramba. Hawa ni warembo Sana sura matata wanapatikana mkoa wa singida kaskazini, usipokua makini utawafananisha na wanyaturu 4. Wamasai, kabila hili wanawake wazuri sio wengi Sana lakini ukikutana na sampuli Tatu au nne hivi utauza hata boxa kuongezea mahari wamezagaa Sana Arusha 5. Wahaya, hawa nao ni jamii ya Kanda ya ziwa maumbile Yao Kuna weupe miguu Yao ya bia shape matata wamejaa Sana bukoba. 6. Wanyaturu, Hawa wanafanana na Wanyiramba wanapatikana singida hasa ikungi na manyoni weupe wanavutia 7. Wapare, Hii ni jamii ya kabila la Wapare wanapatikana moshi wilaya ya same wako vizuri usicheze kabisa na hili kabila shape nzuri. 8 .Wamakonde, ...
UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA WA MSALATO DODOMA KUANZA KUTUMIKA SEPTEMBA 2026
Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb) (katikati), akimsikiliza Naibu Waziri wa Ujenzi, Mhe. Godfrey Kasekenya (Mb) (kulia) kuhusu maendeleo ya ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Msalato jijini Dodoma, ambao unatarajiwa kukamilika na kuanza kutumika mwezi Septemba mwaka huu, hatua inayotarajiwa kuimarisha usafiri wa anga na kulipa hadhi zaidi jiji la Dodoma ambalo ni Makao Makuu ya nchi. Wengine katika picha ni Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Mhandisi Mshamu Ali Munde (kushoto) na Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, Balozi Mhandisi Aisha Amour (wa pili kulia) Na Benny Mwaipaja, Dodoma Serikali imesema kuwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Msalato jijini Dodoma unatarajiwa kukamilika na kuanza kutumika ndani ya mwezi Septemba mwaka huu, hatua inayotarajiwa kuimarisha usafiri wa anga na kulipa hadhi zaidi jiji la Dodoma ambalo ni Makao Makuu ya nchi. Akizungumza wakati alipotembelea na kuona maendeleo ya mradi huo, Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb), alisema uje...
TUWARASIMISHE BODABODA, WACHANGIE KILA SIKU SH. 1000 -MWALUNENGE
BALOZI WA CHINA KUPITIA DKT. MAJULE APELEKA NEEMA KWA WANAWAKE DODOMA
Balozi wa China nchini Tanzania, Chen Mingjian amekabidhi msaada wa cherehani 120 kwa Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Dodoma ambaye pia ni Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake (UWT) wa Mkoa huo, Dkt. Neema Majule kwa ajili ya kuzigawa kwa wanawake wa Dodoma Mei 27, 2026. Balozi Mingjian na Dkt. Majule wametiliana saini mkataba wa makubaliano ya ushirikiano baina ya wanawake wa China na wanawake wa Mkoa wa Dodoma katika hafla iliyofanyika Ofisi za Mbunge huyo zilizopo Shule ya Rhema mkoani humo. Akizungumza katika hafla hiyo, Balozi Mingjian amesema China itaendelea kuimarisha ushirikiano wake na Tanzania hususan katika kuwawezesha wanawake na kuongeza fursa za maendeleo ya kijamii na kiuchumi. Ameeleza kuwa uhusiano wa muda mrefu kati ya Tanzania na China umeendelea kuleta manufaa kwa wananchi wa mataifa hayo mawili, huku akisisitiza umuhimu wa ushirikiano katika kuinua maisha ya wanawake. Kwa upande wake, Dkt. Majule ameishukuru Serikali ya China kwa msaada huo akisema cherehani h...
DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI
Balozi wa China nchini Tanzania Chen Mingjian akilakiwa kwa bashasha na Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Dodoma ambaye pia ni Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake (UWT) wa Mkoa huo, Dkt. Neema Majule alipowasili katika Shule ya Rhema eneo la Mlimwa kwa ajili ya kukabidhi msaada wa cherehani 120 kwa wanawake wa Dodoma Mei 27, 2026. Balozi huyo pamoja na ujumbe wake wameonesha kufurahishwa na mapokezi hayo yaliyohanikizwa na wanafunzi, walimu na baadhi ya wanawake wa mkoa huo waliokuwa wakipeperusha bendera za Taifa za China na Tanzania pamoja na ngoma ya asili ya kabila la wagogo iliyokuwa ikichezwa na wanafunzi wa shule hiyo. Balozi Mingjian na Dkt. Majule wametiliana saini mkataba wa makubaliano ya ushirikiano baina ya wanawake wa China na wanawake wa Mkoa wa Dodoma. Akizungumza wakati wa hafla hiyo, Balozi Mingjian ameusifu ushirikiano wa kihistoria uliopo baina ya China na Tanzania. IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA - 0754264203
RAIS SAMIA AMTEUA UMMY MWALIMU KUWA MSHAURI WAKE
SERIKALI YAINGIA MAKUBALIANO YA USHIRIKIANO NA DIT KUIMARISHA USIMAMIZI WA MAAFA
NA MWANDISHI WETU SERIKALI kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu) imeingia Makubaliano ya Ushirikiano (MoU) na Taasisi ya Teknolojia ya Dar es Salaam (DIT) yenye lengo la kuimarisha usimamizi wa maafa nchini kwa kutumia sayansi, teknolojia na ubunifu. Akizungumza mapema hii leo (08 Juni, 2026) katika hafla ya utiaji saini wa makubaliano hayo Katibu Mkuu wa ofisi hiyo, Dkt. Jim Yonazi, amesema hatua hiyo ni utekelezaji wa dhamira ya Serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ya kujenga mifumo madhubuti ya kiutendaji inayoongozwa na maarifa, sayansi na teknolojia ikiwemo matumizi ya Akili Unde (AI) katika kukabiliana na maafa. Amesema makubaliano hayo yanatekeleza pia mapendekezo ya Mkutano wa Nane wa Umoja wa Mataifa wa Jukwaa la Dunia la Upunguzaji wa Vihatarishi vya Maafa uliofanyika Geneva, Uswisi, mwezi Juni 2025, na yanaashiria mabadiliko ya kimkakati katika namna Serikali inavyoshughulikia changamoto za maafa kuto...
WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI
Na Prince Akbar, DAR ES SALAAM WACHEZAJI wa Yanga kwa siku ya pili leo wameendelea na mgomo kufanya mazoezi wakishinikiza walipwe mishahara yao ya Novemba. Ni wachezaji wawili tu walioonekana Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam asubuhi ya leo, kipa Ally Mustafa ‘Barthez’ na beki Oscar Joshua. Zaidi ya hapo walitokea makocha tu, George Lwandamina na Wasaidizi wake, Noel Mwandila Mzambia mwenzake na wazalendo, Juma Mwambusi, kocha wa makipa Juma Pondamali, Meneja Hafidh Saleh, Daktari Edward Bavu, Mchua Misuli Jacob Onyango na Mtunza Vifaa Mohammed Omar ‘Mpogolo’. Kaimu Katibu Mkuu wa Yanga, Baraka Deusdedit alifika Uwanja wa Uhuru na kukutana na hali hiyo ya kushangaza na akaenda kuzungumza na Lwandamina baadaye Mwambusi na Hafidh. Baada ya hapo wote wakaondoka na leo asubuhi mazoezi hayakufanyika Yanga. Mgomo huo ulianza ghafla jana baada ya wachezaji kufika Uwanja wa Uhuru jioni, lakini wakagoma kuingia uwanjani kufanya mazoezi. Uongozi wa Yanga umekanusha kuwapo kwa madai ya...
BREAKING NEWS…!! SERENGETI BOYS WAVUNJA KAMBI NA VILIO KIBAO
Timu ya Taifa ya Soka ya U17 ya Tanzania (Serengeti Boys) imevunja kambi yake leo pale Tiffany Diamond Hotel huku wachezaji wakitakiwa kuripoti kambini tarehe 4 Julai 2026 kwajili ya maandalizi ya Kombe la Dunia la FIFA kwa U17. Lakini katika hali isiyo ya kawaida vijana hao walidondosha machozi jioni ya leo walipokuwa wanaongea na Kocha wao na kupata taarifa kwamba ile pesa 500M iliyoahidiwa na Serikali kupitia Waziri Mkuu bado mchakato wake haujakamilika, hivyo waondoke waache namba za akaunti zao za benki na pesa “urua” zitawekwa humo wao wakiwa majumbani kwao. Tayari akaunti zao zinasoma 2M kila mmoja ambayo wameingiziwa na TFF, lakini mchakato wa 500M za Serikali unaendelea, wameambiwa pia kama watahitajika Bungeni watapewa taarifa pia, ila kesho baada ya chai asionekane mtu Tiffany Hotel. Kinachowatesa ni historia kwamba mwaka 2024, wakiwa Kampala ambako walipata ushindi wa pili, waliambulia 700k, wakaambiwa waache akaunti zao urua ungewekwa baadeni, lakini...
Comments