Mkurugenzi wa Mauzo na Usambazaji wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Nicholas Blooks (katikati) akimpongeza Mkurugenzi wa Mkandama Store, Bibi Mkandama baada ya kampuni hiyo kuwa miongoni mwa kampuni wakala zilizoshinda kwa kufanya vizuri katika mauzo na usambazaji wa vinywaji vya TBL, juzi Dar es Salaam. Kulia ni Meneja Mauzo na Usambazaji wa TBL, Reginald Mosha. Mkandama amepewa zawadi ya kwenda Uganda kutembelea vivutio vya utalii pamoja na kujifunza masuala ya mauzo na usambazaji.

Mkurugenzi wa Mauzo na Usambazaji wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Nicholas Blooks (katikati) akimpongeza Mkurugenzi wa Kampuni ya Bashasha Merchandise, Fidelis Bashasha aliyeshinda Televisheni kubwa katika mkutano wa kuwazawadia mawakala wa waliofanya vizuri katika mauzo na usambazaji wa vinywaji vya TBL, juzi Dar es Salaam. Kulia ni Meneja Mauzo na Usambazaji wa TBL, Reginald Mosha.
0265 |
|
 |
Zawadi aliyozawadiwa Bashssha |
Comments