TUNDU LISSU NA WENZIE WAACHIWA KWA DHAMANA

Mbunge wa Singida Mashariki kupitia CHADEMA, Tundu Lissu na wenzie saba wameachiwa kwa dhamana ya sh. milioni 70 na kuambiwa wasifike eneo la Nyamongo, Tarime ambapo yalitokea mauaji ya watu kadhaa.

Watu hao wameshitakiwa kwa makosa matatu yakiwamo ya kuvamia Hospitali ya Wilaya ya Tarime kulimokuwa kumehifadhiwa maiti, na kufanya kusanyiko pasipo halali.


Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

MAPACHA WATATU FAMILIA YA MWAIKENDA WAPATA KIPAIMARA

๐Œ๐‰๐”๐„ ๐Š๐€๐‚๐‡๐„๐‘๐Ž ๐Œ๐™๐„๐๐€

MVUA KUBWA KUNYESHA MIKOA 20

AINA 4 ZA WANAWAKE WASIOWEZA KUDUMISHA NDOA.

NAMNA YA KUTENGENEZA MAISHA YAKO KIMYA KIMYA

Wasifu wa Kizza Besigye