IGP MWEMA AZINDUZ UVAAJI HELMETI NA KAMPENI YA KUSALIMISHA SILAHA

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP, Said Mwema (katikati) akivishwa helmeti baada ya Taasisi ya Helmet Vaccin Initiative Tanzania, kukabidhi msaada wa helmeti 500 kwa jeshi hilo, wakati wa hafla ya uzinduzi wa uhamasishaji jamii kuvaa kofia hizo wakipanda pikipiki, Dar es Salaam leo katika Makao Makuu ya Jeshi la Polisi. (PICHA NA RICHARD MWAIKENDA)

IGP Mwema akikata utepe kuashiria uzinduzi huo
Mkuu wa kitengo cha Polisi cha Maboresho, Lucas Kusima akielezea kuhusu maboresho mbalimbali yaliyofanywa na jeshi hilo
Mkuu wa Oparesheni wa Jeshi la Polisi, Kamishna Paul Chagonja akifafanua mbamo mbalimbali hasa kuhusu oparesheni iliyotangazwa leo na IGP, Mwema ya kusalimisha silaha zinazomilikiwa isivyo halali
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP, Said Mwema (katikati) akiangalia wakati Balozi wa Hiari wa Uvaaji wa Kofia nchini, Ritta Poulsen (kulia kwake) baada ya Taasisi ya Helmet Vaccin Initiative Tanzania, ilipokabidhi msaada wa helmeti 500 kwa jeshi hilo, wakati wa hafla ya uzinduzi wa uhamasishaji jamii kuvaa kofia hizo wakipanda pikipiki Dar es Salaam leo. (PICHA NA RICHARD MWAIKENDA)

Mkuu wa kitengo cha upelelezi wa makosa mtandao, Kasala, akielezea jinsi wanavyopambana na uhalifu huo
Sehemu ya waandishi wa habari na baadhi ya maofisa wa jeshi la polisi wakisikiliza
IGP Mwema akimkabidhi mtangazaji wa EAST AFRICA RADIO, David gumbo kitabu kinachoelezea sheria za umiliki wa silaha mbalimbali nchini
IGP Mwema akijibu maswali mbalimbali wakati wa uzinduzi wa kuanza kuhakiki silaha nchini, uvaaji helmeti na uhamasishaji jamii kutii sheria bila kusurutishwa
Kamishna wa Polisi, Clodwin Mtweve akisisitiza jambo katika mkutano huo

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

Wasifu wa Kizza Besigye

KILA MWANAMKE ANAPASWA KUFAHAMU HII...

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

MAMBO MADOGO YANAYOVUTIA KWA MPENZI WAKO

DKT. MAJULE AKABIDHIWA CHETI CHA SHUKRANI UWT DODOMA KUFANIKISHA USHINDI WA CCM 2025

UWT YATOA MSAADA WA VIFAA TIBA HOSPITALI YA RUFAA DODOMA

30 TANZANIAN PROJECTS IN THE NEXT 10 YEARS

MAJESHI YA URUSI CHINA NA IRANI YAANZA MAZOEZI YA PAMOJA DHIDI YA MAREKANI