UWANJA WA NDEGE WA ZANZIBAR WAPATA LUNINGA KUTOKA ZANTEL


ZANTEL
Meneja Uhusiano wa Zantel, Charles Jutta (kushoto) akimkabidhi Waziri wa Mawasiliano na Miundombinu wa Zanzibar, Hamad Masoud Hamad luninga ambazo zitafungwa kwenye chumba cha kupokea wageni rasmi na chumba cha wanaosafiri katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Zanzibar, wakati wa hafla fupi iliyofanyika mjini Zanzibar jana. Msaada huu ni sehemu ya mchango wa Zantel wa mradi unaoendelea wa uwanja wa ndege wa Zanzibar. (NA MPIGAPICHA MAALUMU)

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MWABUKUSI ATOA NENO SIMBA KUSUSIA DERBY DHIDI YA YANGA

RAIS TRUMP ARARUANA NA RAIS WA UKRAINE

SERIKALI YALIKUBALI OMBI LA DIAMOND

HOSPITALI YA MUHIMBILI YAANZISHA HUDUMA YA KISASA YA KUZIBA MAPENGO

MWANAMKE ALIYEVUNJA REKODI KWA KUZAA WATOTO 69

ARAJIGA AULA KOMBE LA DUNIA

BODI YA LIGI YAKIRI MAKOSA, WAIOMBA YANGA WAYAMALIZE