WATANZANIA WATAKIWA KUUPIGIA KURA MLIMA KILIMANJARO

MLIMA Kilimanjaro, ni moja ya vivutio 28 vilivyoingia katika kinyang'anyiro cha kutafuta maajabu saba ya asili ya dunia, yaliyoandaliwa na Taasisi ya New7wonders ya Uswis. Akizungumza na waandishi wa habari mjini Dodoma jana, Waziri wa Maliasili na Utalii Ezekiel Maige, alisema Mlima Kilimanjaro ni miongoni mwa vivutio 28 dunia ambavyo vimefanikiwa kuingia katika hatua ya mwisho ya ushindani.

Alisema hatua hiyo imekuja baada ya kushindanishwa na vivutio vingine kutoka sehemu mbalimbali duniani.Alisema katika bara la Afrika, vivutio vilivyopata nafasi hiyo ni pamoja na Table Maountain ya Afrika ya Kusini na mlima huo kwamba shindano hilo linaendeshwa kupitia katika mtandao wa www.new7wonders. com.

"Shindano linaendelea kupitia njia ya mtandao ya www.new7wonders.com, na shindano linaendelea lakini tafiti zinaonesha kuwa katika kura za Mlima Kilimanjaro zilizopigwa nyingi ni za watu wa nje ya nchi,hivyo nawaomba Watanzania wajitokeze kwa wingi kupigia kura Mlima Kilimanjaro."alisema Maige.


Alisema shindano hilo lina maana kubwa sana katika kuutangaza mlima huo na vivutio vingine vya utalii hapa nchini."Ukiangalia unaweza kuona kama mchezo mdogo tu,lakini una maana kubwa sana kwetu kama tukishinda,pia njia hii ni rahisi katika kutangaza utalii wetu kuliko ile ya kwenda kwenye maonyesho katika nchi mbalimbali ambayo ina gharama kubwa sana," alisema waziri.

Alisema kuingizwa kwa Mlima Kilimanjaro katika shindano hio kumetokana na kupigiwa kura nyingi, ambazo hata hivyo zinazidi kupungu kadri siku zinavyokwenda.Alisema Wizara ya Maliasili na Utalii, imeshaanza uhamasishaji kwa njia mbalimbali ikiwamo ya mitandao ya kijamii na magazeti kwa lengo la kuchagiza kampeni hiyo.

Pamopja na hayo njia nyingine itakayotumika ni wizara kupita kwenye shule mbalimbali nchini kuhamasisha wanafunzi kufanya mchakato huo wa kupigia kura mlima huo. Alisema shindano hilo linatarajia kumalizika Novemba 11 mwaka huu.

Sasa ujue mlima huo kwa kimombo

At 19,336 feet, snow-capped Mount Kilimanjaro in Tanzania is Africa's highest peak. It is the world's tallest walkable mountain, and what a walk it is. You ascend through five different ecological zones to reach the summit.

Kilimanjaro is the world's highest free standing, snow-covered equatorial mountain.Images of the towering snow-covered cone rising majestically from fertile green foothills have become a powerful motif of Tanzania's extraordinary extremes. Few could deny a very distinct sense of awe when the cloud clears to reveal a glimpse of the towering peaks, shining bright in the equatorial sun.

Kilimanjaro represents a powerful life force for the local Chagga people and all those who have made their lives around this mountain, providing rich volcanic soils for agriculture and an endless source of pure spring waters.

One of the most amazing aspects of the mountain in the present day is the accessibility of its peak to climbers with no mountain climbing equipment or real previous experience of scaling such heights. Kilimanjaro is the highest mountain that regular tourists can climb, although it remains a considerable feat of human endurance! The breathable oxygen at the top is less than half the amount than is common at sea level, and climbers cover at least eighty kilometres on nothing but their own two feet over the five days it takes to reach the top and return. There are several routes to climb Kilimanjaro, among them, Marangu, Rongai, Lemosho, Shira, Umbwe and Machame.

The number of climbers has escalated to over a thousand a year during the last century, quite a development since Hans Meyer made history as the first European to scale the highest point of Kilimanjaro in 1889. The increasing numbers each year have made it necessary for the National Park to insist that all climbs are pre-booked, and passes are no longer issued at the last minute at the park gate.

Although it is possible to simply trek a route to the pinnacle of Kibo without relying on professional climbing equipment, it remains a hard and serious endeavour that requires a level of physical fitness, stamina and a realistic awareness of the potentially damaging effects of high altitudes. Many tour operators request that clients consult a doctor before attempting to scale the mountain, and have a physical check-up for overall fitness.

About Kilimanjaro National Park

Size:

  • 1,668 sq km (641 sq miles).

Location:

  • Northern Tanzania, near the town of Moshi
  • 128 km (80 miles) from Arusha
  • About one hour’s drive from Kilimanjaro airport.

When to Visit Kilimanjaro National Park

The best months are from December to February, when the skies are clear and the weather is warm. July through September are also good months, when it is dry but colder. The remaining months have a propensity for precipitation.

Kilimanjaro National Park Fees

Permit for entry for each person to Kilimanjaro National Park

a) Of or above the age of 16 years 60 USD

b) Between the age of 5 years and 16 years 10 USD

c) Children below the age of 5 years free



Permit for camping in Kilimanjaro National Park

a) Of or above the age of 16 years 50 USD

b) Between the age of 5 years and 16 years 10 USD

c) Children below the age of 5 years free



Huts, Hostel, Rest Houses Fees

a) Kilimanjaro National Park: Mandara, Horombo and Kibo (Huts and Camping) 50 USD



Rescue Fee for Mount Kilimanjaro

a) Rescue fee 20 USD

Kilimanjaro Climb Accommodations

Huts on Mount Kilimanjaro:

  • Mandara Hut
    Capacity / Beds: 84 Beds
    Owner: TANAPA
  • Horombo Hut
    Capacity / Beds: 84 Beds
    Owner: TANAPA
  • Kibo Hut
    Capacity / Beds: 58 Beds
    Owner: TANAPA

Campsites on the Mount Kilimanjaro:

  • Big Forest
  • Simba
  • Shira
  • Machame Moir
  • Buffalo
  • Lava Tower
  • Arrow Glacier
  • Barranco
  • Umbwe
  • Millenium
  • Mweka
  • Horombo
  • Mandara
  • Kibo
  • Barafu
  • School
  • Rongai Cave
  • Rongai Second Cave
  • Rongai Third Cave
  • Kikelewa Caves
  • Mawenzi Tarn

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

KANUNI 10 ZA MAHUSIANO YENYE FURAHA

HAKI 13 ZA MWANAMKE LAZIMA MWANAUME AZIHESHIMU:

NI HESHIMA KUBWA SANA KUIFUNDISHA YANGA - KOCHA MPYA WA YANGA

MAMBO SABA AMBAYO WANAUME WENGI HAWAYAPENDI:

RAIS DKT.MWINYI: ZANZIBAR KUWA KITUO CHA BIASHARA CHA KIMATAIFA

”RAIS SAMIA AUMIZWA MAUAJI YA KIBIKI”

UOKOAJI KARIAKOO NI USHUHUDA WA MOYO WA UTANZANIA: NCHIMBI

KOCHA SEAD RAMOVIC AMRITHI GAMONDI YANGA.

ACHENI KUWA CHANZO CHA CHOKOCHOKO NA VURUGU - ASKOFU CHANDE