AIRTEL,ENGEN YAIPATIA STIKA,FULANA WIKI YA NENDA KWA USALAMA BARABARANI

Kamanda wa Kikosi cha Polisi cha Usalama Barabarani, Kamishna Msaidizi Mwandamizi, Mohamend Mpinga (kushoto), akipokea msaada wa stika kutoka kwa Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Airtel Tanzania, Beatrice Singano zitakazokuwa zinatolewa kwa magari yatakayokuwa yamekaguliwa wakati wa maadhimisho ya Wiki ya Nenda kwa Usalama. Stika hizo na fulana zimetolewa kwa pamoja na Airtel na kampuni ya mafuta ya Engen katika hafla iliyofanyika, Dar es Salaam leo. Wa pili kushoto ni Meneja Masoko wa Engen, Shaaban Kayungilo na Mjumbe wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani, Henry Bantu. (PICHA NA KAMANDA MWAIKENDA)
Maofisa wa Jeshi la Polisi wakishuhudia makabidhiano hayo. kutoka kushoto ni Inspekta Theresia Kimario, Inspekta Sara Bundala na Inspekta Msaidizi, Kuluthum Bambe

Kamanda Mpinga, akionesha kwa waandishi wa habari, stika

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MUSTAFA MKULO AFARIKI DUNIA

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DK NCHIMBI ATINGA MKOANI KATAVI

MAKALLA ASHANGILIWA BUNGENI

BASHASHA LATAWALA NCHIMBI ALIPOLAKIWA NA CHONGOLO SONGWE

NCHIMBI AFUNGUA KONGAMANO LA MAADHIMISHO YA KUMBUKIZI YA MWALIMU NYERERE

DKT NCHIMBI AKARIBISHWA KIMILA NYUMBANI RUVUMA