DK BILAL AMKABIDHI WAZIRI WA SWEDEN TASWIRA YA ZANZIBAR

Makamu wa Rais, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi zawadi ya picha yenye taswira ya moja ya mitaa ya Mji wa Zanzibar, Waziri wa Maendeleo na Ushirikiano wa Kimataifa wa Sweden, Gunilla Carlsson, wakati Makamu alipofika ofisini kwa waziri huyo jijini Stockholm, Sweden kwa mazungumzo jana. (PICHA NA MUHIDIN SUFIANI-OMR)

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

Wasifu wa Kizza Besigye

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA