HELKOPTA CCM YAFANIKISHA MIKUTANO 16 KWA SIKU

Mbunge wa Chato, John Magufuli akimnadi mgombea ubunge Jimbo la Igunga, Dk. Dalaly Kafumu katika mkutano wa kampeni za CCM leo katika Kijiji cha Itale. Kushoto ni Mratibu wa Kampeni za CCM katika uchaguzi mdogo wa Igunga,
Mgombea Ubunge kwa tiketi ya CCM katika Jimbo la Igunga, Dk. Dalaly Kafumu akimsalimia mwanafunzi Hadija Kagusa baada ya kuhutubia mkutano wa kampeni katika Kijiji cha Mwisi.

Mgombea ubunge Jimbo la Igunga kwa tiketi ya CCM, Dk. Dalaly Kafumu akihutubia umati wa wananchi katika Kijiji cha Igoweko.
Mgombea ubunge Jimbo la Igunga kwa tiketi ya CCM, Dk. Dalaly Kafumu akitambulishwa na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Mbunge wa Mtera, Livingstone Lusinde 'Kibajaji', baada ya kutua na helkopta katika Kijiji cha Lugubu Kata ya Itumba, jana. Mkutano huo ulikuwa wa mwisho kati ya mikutano 16 aliyofanya katika kata kadhaa alikofika kwa helkopta hiyo. (PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO WA GAZETI LA UHURU)
Kina mama wa Isekenese wakimshangilia mgombea ubunge jimbo la Igunga wakati akiruka kwa helkopta baada ya kuwahutubia wananchi wa kijiji hicho mkutano wa kampeni leo.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MUSTAFA MKULO AFARIKI DUNIA

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DK NCHIMBI ATINGA MKOANI KATAVI

MAKALLA ASHANGILIWA BUNGENI

BASHASHA LATAWALA NCHIMBI ALIPOLAKIWA NA CHONGOLO SONGWE

NCHIMBI AFUNGUA KONGAMANO LA MAADHIMISHO YA KUMBUKIZI YA MWALIMU NYERERE

DKT NCHIMBI AKARIBISHWA KIMILA NYUMBANI RUVUMA