KLABU YA WAFANYABIASHARA WA NMB SHINYANGA YAZINDULIWA


Baadhi ya wafanyabiashara wa mkoa wa Shinyanga wakimsikiliza Mkuu wa wilaya ya Shinyanga, Amina Masenza (hayupo pichani) aliyekuwa akiongea wakati wa uzinduzi rasmi wa Klabu ya Wafanbyabiashara wa Benki ya NMB mkoani humo jana. Klabu hiyo inalengo la kuboresha mahusiano na mawasiliano kati ya Benki na wateja wake. (Picha na Mpigapicha wetu).


Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga, Amina Masenza (kushoto) akizungumza jambo baada ya kuzindua rasmi klabu ya wafanyabiashara wa Benki ya NMB mkoani Shinyanga jana, pamoja nae ni Mkuu wa Kitengo cha Mahusiano na Jamii wa Benki ya NMB, Shy-Rose Banji. Klabu hiyo inalengo la kuboresha mahusiano na mawasiliano kati ya Benki na wateja wake. (Picha na Mpigapicha wetu).

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

DKT. MIGIRO AKIWASHA KAMPENI ZA DKT. SAMIA MAKAMBAKO

MBINU ZITAKAZOKUFANYA USIISHIWE PESA

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

KIGOGO WA CHADEMA AHAMIA CCM