MAADHIMISHO YA UHURU WIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII

Meneja wa Mamlaka ya Chakula na Dawa Tanzania (TFDA), Kanda ya Mashariki, Agnes Kijo (kushoto), akiwaonesha wananchi chupa zenye dawa feki na halali za kuua bakteria mwilini (Asomycin), wakati wa maadhimisho ya miaka 50 ya Uhuru, yaliyoandaliwa na Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es Salaam. Meneja wa Mamlaka ya Chakula na Dawa Tanzania (TFDA), Kanda ya Mashariki, Agnes Kijo (kushoto), akiwaonesha wananchi chupa zenye dawa feki na halali za kuua bakteria mwilini (Asomycin), jana wakati wa maadhimisho ya miaka 50 ya Uhuru, yaliyoandaliwa na Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es Salaam.
Silanda Optatus wa kitengo cha dharula Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, akionesha mpangilio wa pingili za koo.
Kassim Mapili wa bendi ya Mjomba, akiliungurumisha gitaa wakati bendi hiyo ikitumbuiza katika maadhimisho hayo
Bendi ya Mjomba ikitumbuiza wakati wa maadhimisho ya miaka 50 ya Uhuru wa Tanganyika jana, yaliyoandaliwa na Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es Salaam. Maadhimisho hayo ya siku tatu yameanza jana yatafikia kilele kesho. (PICHA NA RICHARD MWAIKENDA)
Mtafiti wa Dawa za Asili wa Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR), Nteghemtwa Kitufe (kushoto) akitoa maelezo kwa wananchi Dar es Salaam, kuhusu dawa ya asili itwayo Nimrex inayotibu kifua, jana katika maadhimisho ya miaka 50 ya Uhuru, yaliyoandaliwa na Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja jijini. (PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA)

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MUSTAFA MKULO AFARIKI DUNIA

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DK NCHIMBI ATINGA MKOANI KATAVI

MAKALLA ASHANGILIWA BUNGENI

BASHASHA LATAWALA NCHIMBI ALIPOLAKIWA NA CHONGOLO SONGWE

NCHIMBI AFUNGUA KONGAMANO LA MAADHIMISHO YA KUMBUKIZI YA MWALIMU NYERERE

DKT NCHIMBI AKARIBISHWA KIMILA NYUMBANI RUVUMA