MAGARI YALIYOBEBA WANAODAIWA KUWA MAMLUKI WA CHADEMA HAYA HAPA

MABASI madogo manne aina ya Rosa ya kampuni ya Mukeshi Travels yaliyokuwa na watu wanaodaiwa ni mamluki wa CHADEMA waliotoka Tarime na Musoma mkoani Mara kwenda kuvuruga uchaguzi Igunga, yakiwa yameegeshwa eneo la Tinde mkoani Shinyanga kwa ajili ya upekuzi wa Polisi leo. Hata hivyo walidai walikuwa wanakwenda kwenye kampeni huku wengine wakidai wanakwenda kuwa mawakala wa chama hicho siku ya uchaguzi. Kwa mujibu wa habari zilizothibitishwa na Msimamizi wa Uchaguzi mawakala waliapishwa jana. Habari tulizozipata hivi punde ni kwamba watu hao waliodaiwa kuwa mamluki ni kwamba si mamluki wameapishwa leo jioni kuwa mawakala wa chama hicho.(Na Mpigapicha Wetu).

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

Wasifu wa Kizza Besigye

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA