Mratibu wa Kampeni za CCM, Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Mwigulu Nchemba akimlaki Januari Makamba baada ya helkopta aliyokuja nayo kutua kwenye Uwanja wa Sabasaba mjini Igunga. Kushoto ni Katibu Msaidizi Mkuu Itikadi na Uenezi, Sixtus Mapunda.

Waziri wa Ujenzi, John Magufuli akisalimia mamia ya wananchi waliofika kwenye Uwanja wa Sabasaba mjini Igunga kupokea ndege ya kampeni za CCM.Wengine ni Nchemba na Katibu wa NEC, Oganaizesheni Asha Abdallah Juma

Magufuli akiteta jambo na mgombea ubunge Jimbo la Igunga kwa tiketi ya CCM, Dk. Dalaly Kafumu (kulia) kabla ya kuhutubia wananchi waliofika katika mapokezi ya helkopta ya kampeni za CCM kwenye Uwanja wa Sabasaba mjini Igunga leo. Kushoto ni Katibu wa NEC Uchumi na Fedha Mwigulu Nchemba.

Januari Makamba akisalimia mamia ya wananchi waliofika katika mapokezi ya helkopta ya kampeni za CCM ilipowasili jana asubuhi kwenye Uwanja wa Sabasaba mjini.
Magufuli akihutubia wananchi katika Uwanja wa sabasaba baada ya helkopta ya kampeni za CCM kuwasili.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MUSTAFA MKULO AFARIKI DUNIA

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DK NCHIMBI ATINGA MKOANI KATAVI

MAKALLA ASHANGILIWA BUNGENI

BASHASHA LATAWALA NCHIMBI ALIPOLAKIWA NA CHONGOLO SONGWE

NCHIMBI AFUNGUA KONGAMANO LA MAADHIMISHO YA KUMBUKIZI YA MWALIMU NYERERE

DKT NCHIMBI AKARIBISHWA KIMILA NYUMBANI RUVUMA