SHULE YA CHANGARAWE SASA KUSOMA KWA KOMPYUTA


Mbunge wa jimbo la Mvomero mkoani Moropgoro (CCM) Amos Makala (kushoto) akikabidhi compyuta na printa kwa Mwenyekiti wa Kamati ya shule ya Msingi Changarawe iliyopo Kata ya Mzumbe, Makunza Mloka. Makabidhiano hayo yalifanyika hivi karibuni shule hapo baada ya Mbunge huyo awali kuipa fedha shule hiyo kwaajili ya kuingia umeme uliogharimu zaidi ya sh Milioni 4. Anaeshuhudia katikati ni Mwalimu Mkuu wa Shule hiyo Cryspin Chimbamizungu. (Picha na Mroki Mroki).


Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

DKT. MIGIRO AKIWASHA KAMPENI ZA DKT. SAMIA MAKAMBAKO

MBINU ZITAKAZOKUFANYA USIISHIWE PESA

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

KIGOGO WA CHADEMA AHAMIA CCM