MAKACHERO WA KIBONGO WAWANYANYASA WAPIGA PICHA ZA TV NA MAGAZETI ZIARA YA MUSEVENI

Maofisa wa usalama wa Taifa wakiwa wamemnyang'anya kamera na kumtoa eneo lake la kazi Mpigapicha wa magazeti ya The Guardian na Nipashe, Khalfan Said wakati wa ujio wa Rais wa Uganda, Yoweri Museveni kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam leo. Maofisa hao wamekuwa ni kikwazo kikubwa kwa wapigapicha za habari kufaya kazi zao kwa uhuru jambo linalosababisha kero kwa wapigapicha hao na hata wakati mwingine kufikia kuwanyang'anya vitendea kazi vyao.


Khalfan Saidi akiomba kurudishiwa kamera
Kachero akimzuia Mpiga Picha wa The Citizen, Salhim Shao kufanya caverage ujio wa Rais wa Uganda Yoweri Mseveni leo.
Kachero akiwaambia wapiga picha wasithubutu kuvuka kamba kwenda kuwapiga picha marais Jakaya Kikwete na mgeni wake Rais Museveni.
Khalfan Said akitii amri ya Kachero ambaye alimnyang'anya kamera yake, hivyo kumfanya ashindwe kuendelea na majukumu yake.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

VITU 10 WANAUME WANAVYOPENDA ZAIDI TOKA KWA MWANAMKE — SIYO SURA, SIYO MWILI ❤️

WALIOCHUKUA FOMU CCM ZA KUWANIA USPIKA HAWA HAPA

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

UKWELI KUHUSU TENDO LA NDOA NA FAIDA ZAKE

๐Œ๐‰๐”๐„ ๐Š๐€๐‚๐‡๐„๐‘๐Ž ๐Œ๐™๐„๐๐€

HUYU NDIYE WANU HAFIDH, CHAMPIONI WA ELIMU

MAWAZIRI WALIOACHWA HAWA HAPA

HISTORIA YA MAREHEMU MC PILIPILI