PAMBANO LA NDONDI LA MATUMLA VS MIYEYUSHO LILIVYOKUWA

Fadhil Majia (kulia), akimtandika konde la kushoto mpinzani wake Juma Fundi katika pambano la kuwania mkanda wa PST wakati wa mpambano huo
Bondia Mbwana Matumla (kushoto), akitafuta sehemu ya kutupa konde kwenye uso wa Francis Miyeyusho katika mpambano wao wa kuwania mkanda wa UBO.
Kamanda wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Suleiman Kova (kushoto), akimvisha mkanda wa ubingwa huo, Francis Miyeyusho baada ya kumtwanga Mbwana Matumla kwa pointi kwenye mpambano wao huo. Kulia ni Mkurugenzi wa kampuni ya Darwold Link, waandaaji wa mpambano huo, Mohamed Bawaziri.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

Wasifu wa Kizza Besigye

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA