YANGA YAIKUNG'UTA SIMBA BAO MOJA KWA NUNGE

Yanga imwakung'uta watani zao wa jadi Simba bao 1-0 katika mechi ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, leo kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam.

Alikuwa mchezaji Davis Mwape ambaye alifumua shuti katika dakika ya 72 na mpira kutinga wavuni huku mabeki wa Simba wakibaki wameduaa.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

Wasifu wa Kizza Besigye

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA