CHONDE CHONDE MSIRUDI TENA MABONDENI

Mbunge wa Jimbo la Kinondoni, Idd Azzan, akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam, wakati alipokuwa nje ya Ofisi za Mkuu wa Mkoa kwa ajili ya masuala mbalimbali yakiwemo ya waathirika wa mafuriko, ambapo aliwatahadharisha baadhi ya wanaojaribu kurudi katika maeneo yao kuwa wasifanye hivyo kwani bado mvua zipo na zinategemewa kuwa kubwa. (
Kijana wa Skauti akiwapakulia chakula baadhi ya waathirika wa mafuriko katika Kambi ya muda ya Shule ya Sekondari ya Azania, Dar es Salaam
Baadhi ya waathirika wakiwa katika Kambi ya Shule ya Sekondari ya Hananasif, Kinondoni leo.
Baadhi ya waathirika wa mafuriko wakijiandikisha kwa Ofisa Ustawi wa Jamii, ili kurahisisha kuwapatia misaada mbalimbali leo katika Shule ya Sekondari ya Hananasif, Dar es Salaam.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam na Mwenyekiti wa Kamati ya Maafa, Said Mecky Sadik, akizungumza na waandishi wa habari, jijini , mara baada ya kupokea msaada wa sh. milioni 2.5, uliotolewa na Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) kwa ajili ya waathirika wa mafuriko, msaada aliokabidhiwa na Katibu wa taasisi hiyo, Daud Nasibu (wa pili kushoto), ofisini kwake, Ilala Boma.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MUSTAFA MKULO AFARIKI DUNIA

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DK NCHIMBI ATINGA MKOANI KATAVI

MAKALLA ASHANGILIWA BUNGENI

BASHASHA LATAWALA NCHIMBI ALIPOLAKIWA NA CHONGOLO SONGWE

NCHIMBI AFUNGUA KONGAMANO LA MAADHIMISHO YA KUMBUKIZI YA MWALIMU NYERERE

DKT NCHIMBI AKARIBISHWA KIMILA NYUMBANI RUVUMA