MFUKO WA AFYA YA JAMII WATOA SH. MIL. 5 KUSAIDIA WATOTO WALIOATHIRIKA KWA MAFURIKO DAR

Mkurugenzi wa Tiba na Masuala ya Kifundi wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Dk. Frank Lekey (katikati) akikabidhi kwa Kaimu Katibu Tawala wa Mkoa wa Dar es Salaam, Eliya Ntandu, hundi yenye thamani ya sh. mil.5, ikiwa ni msaada wa Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF) kwa watoto walioathirika na mafuriko Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Tiba na Masuala ya Kifundi wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Dk. Frank Lekey (katikati) akikabidhi kwa Kaimu Katibu Tawala wa Mkoa wa Dar es Salaam, Eliya Ntandu, hundi yenye thamani ya sh. mil.5, ikiwa ni msaada wa Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF) kwa watoto walioathirika na mafuriko Dar es Salaam. Anayeshuhudia hafla hiyo iliyofanyika, Dar es Salaam jana, ni Kaimu Mkurugenzi wa CHF, Athuman Rehani.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MUSTAFA MKULO AFARIKI DUNIA

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DK NCHIMBI ATINGA MKOANI KATAVI

MAKALLA ASHANGILIWA BUNGENI

BASHASHA LATAWALA NCHIMBI ALIPOLAKIWA NA CHONGOLO SONGWE

NCHIMBI AFUNGUA KONGAMANO LA MAADHIMISHO YA KUMBUKIZI YA MWALIMU NYERERE

DKT NCHIMBI AKARIBISHWA KIMILA NYUMBANI RUVUMA