SERIKALI YAANZA KUHAKIKI NYUMBA ZITAKAZOBOMOLEWA MABONDENI DAR

Mama mkazi wa Jangwani, Dar es Salaam eneo lililokumbwa na mafuriko hivi karibuni, akiwa na huzuni baada ya nyumba yake kuwekwa alama ya kubomolewa na wakati wa mchakato wa kuhakiki nyumba hizo uliokuwa unafanywa na Maofisa wa Manispaa ya Ilala. (PICHA ZOTE NA KAMANDA RICHARD MWAIKENDA)
Mmoja wa maofisa wa kutoka Manispaa ya Ilala, akiweka alama katika moja ya nyumba eneo la Jangwani.
Mkazi wa Jangwani, Dotto Ngoyeji akieleza malalamiko yake mbele ya wanan habari, kwamba Serikali inatakiwa kuata utaraibu kuwatendea haki katika mchakato huo wa kuhakiki nyumba zao.
Mkazi wa Jangwani bondeni, Dar es Salaam, Mohamed Zuberi akilalamika mbele ya wanahabari jana, kuhusu utaratibu unaotumiwa na maofisa wa Manispaa ya Ilala kuhakiki nyumba zao zitakazobomolewa kufuatia amri ya Serikali.
Sabuni zikikaushwa juani baada ya kulowa kwenye duka wakati wa mafuriko



Maofisa wa Manispaa ya Ilala, waliokuwa katika oparesheni ya kuhakiki nyumba zitakazobomolewa eneo la Jangwani, wakijadiliana jambo huku wakiwa wamezungukwa na wakazi wa eneo hilo waliotaka kujua utaratibu huo.
Askari wakila doria wakati wa mchakato wa kuhakiki nyumba eneo la Jangwani
Maofisa wa Manispaa ya Ilala, wakiangalia ramani ya nyumba za Jangwani zilizopigwa kwa setilaiti, kabala ya kuanza kuziwekea alama.
Kijana mkazi wa Jangwani, bondeni, Dar es Salaam, akianika balakashia jana, zilizokuwa zimelowa wakati wa mafuriko yaliyolikumba Jiji la Dar es Salaam.
Mmoja wa maofisa wa kutoka Manispaa ya Ilala, akiweka alama katika moja ya nyumba eneo la Jangwani.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MUSTAFA MKULO AFARIKI DUNIA

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DK NCHIMBI ATINGA MKOANI KATAVI

MAKALLA ASHANGILIWA BUNGENI

BASHASHA LATAWALA NCHIMBI ALIPOLAKIWA NA CHONGOLO SONGWE

NCHIMBI AFUNGUA KONGAMANO LA MAADHIMISHO YA KUMBUKIZI YA MWALIMU NYERERE

DKT NCHIMBI AKARIBISHWA KIMILA NYUMBANI RUVUMA