WAATHIRIKA WAENDELEA KUPATA MSAADA

P 2. Katibu wa Taasisi ya Masheikh, Maimamu na Wanazuoni wa Kiislamu Tanzania, Sheikh Khamis Mataka (wa pili kulia), akimkabidhi Mwenyekiti wa Kamati ya Maafa, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam jana, Said Macky Sadik, mabelo ya nguo, ikiwa ni sehemu ya msaada wa vitu mbalimbali, vilivyotolewa na taasisi hiyo, vikiwemo vyakula na vyandarua, vyenye thamani ya sh. milioni 12 kwa ajili ya wananchi waliofikwa na maafa ya mafuriko mkoani humo. Kulia ni Imam wa Msikiti wa Manyema, Sheikh Hamid Jongo.
Waathirika wa mafuriko, wakipatab huduma ya dawa katika kambi ya muda ya Suma, Magomeni Mapipa, Dara es Salaam
Eneo la waathirika wa mafuriko Kinondoni Hananasifu lililvyokuwa jana
Mjumbe wa Muungano wa Mashirika ya Vijana Tanzania (TYC), Sostenes Mitti, akimkabidhi pakiti ya sukari na katoni ya juisi, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, ikiwa ni sehemu ya vitu mbalimbali vyenye thamani ya sh. 1,007,000, vilivyotolewa na Muungano huo kwa waathirika wa mafuriko, mkoani Dar es Salaam jana. Kushoto ni Ofisa Utawala wa TYC

Comments

Anonymous said…
SHEIKH KHAMIS MATAKA NI KATIBU MUU WA TAASISI YA MASHEIKH NA WANAZ; UONI WA KIISLAMU TANZANIA, YAANI:THE FOUNDATION OF SHEIKHS AND ISLAMIC SCHOLARS OF TANZANIA.

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MUSTAFA MKULO AFARIKI DUNIA

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

MAKALLA ASHANGILIWA BUNGENI

DK NCHIMBI ATINGA MKOANI KATAVI

BASHASHA LATAWALA NCHIMBI ALIPOLAKIWA NA CHONGOLO SONGWE

DKT NCHIMBI AKARIBISHWA KIMILA NYUMBANI RUVUMA

DKT NCHIMBI AZURU KABURI LA JOHN KOMBA LITUHI, NYASA

DKT NCHIMBI AAGIZA UJENZI UWANJA WA NDEGE SUMBAWANGA UKAMILIKE HARAKA