Mzee Yusufu akiwapagawisha mashabiki wa mipasho katika ukumbi wa Mont Vernon, New York, Marekani ambako yuko kwenye ziara ya kikazi |
Mzee Yusufu akifanya viti vyake jukwaani. (PICHA KWA HISANI YA BLOG YA MICHUZI)
Baadhi ya akina dada wa kitanzania wakiwa wamepagawa na mipasho ya Mzee Yusufu nchini Marekani
Comments