Mroki kuzikwa kesho kijijini kwake Ugweno Msanganeni

Marehemu Amani Mroki Majengo (66) aliyefariki mapema wiki hii katika Hospitali ya KCMC mjini Moshi yanataraji kufanyika kesho kijijini kwake Ugweno Msangani, wilayani Mwanga mkoani Kilimanjaro.
Amani Mroki alizaliwa Msangeni ugweno mwaka 1946 na kufariki 2012 anataraji kuzika jirani na kaburi la babayake Majengo T. Nathan.
Nyote mnakaribishwa katika tafrija hii ya kumhifadhi ndugu yetu, jamaa yetu, baba yetu, kaka yetu, katika nyumba yake hadi pale atakapokuja kunyakuliwa arudipo Bwana Yesu.
Taarifa zaidi:
Loyd Atenaka: 078434482
Zakaria Ernest 0754382583

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

AINA 4 ZA WANAWAKE WASIOWEZA KUDUMISHA NDOA.

MVUA KUBWA KUNYESHA MIKOA 20

MIKOA 10 YENYE KIPATO KIKUBWA ZAIDI KWA MTU MMOJA MMOJA

BODABODA ALIPWA PIKIPIKI BAADA KUSAFIRI KWA BODA KWA SAA 10 MBEYA HADI DAR

IJUE HISTORIA YA MCHEZAJI MZUNGU WA TANZANIA