Soma Taarifa ya UTEUZI:Rais Jakaya Kikwete amemteua Dkt. Ben E. Moshi kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Kampuni ya PUMA Energy (zamani ilijulikana kama BP Ltd)


JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
WIZARA YA NISHATI NA MADINI
 Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, amemteua Dkt. Ben E. Moshi kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Kampuni ya PUMA Energy (zamani ilijulikana kama BP Ltd). Uteuzi huo wa Dkt. Ben Moshi ni wa kipindi cha miaka mitatu (3) kuanzia tarehe 1 Machi, 2014.
 
Kutokana na uteuzi huo Waziri wa Nishati na Madini, Mhe. Profesa Sospeter M. Muhongo (Mb.)  amewateua wafuatao, kuwa Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Kampuni ya PUMA Energy (T) Ltd kwa kipindi cha miaka mitatu (3) kuanzia tarehe 1 Machi, 2014:
 
Mhandisi Dkt. Malima MP. Bundara, 
Mwenyekiti Mtendaji wa Kituo cha GARETRACE;
Bw. Solomon R.M. Odunga; Katibu Mkuu Mstaafu;
Bw. James Andilile, Kamishna Msaidizi wa Nishati katika Wizara ya Nishati na Madini
 
 Bw. Daniel N. Nsanzugwanko, Mtaalam Mshauri wa masuala ya biashara.

Imetolewa na
KATIBU MKUU

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

DK MAGUFULI ATANGAZA KIAMA CHA MAJAMBAZI, WEZI NA MAFISADI KATIKA MIKUTANO YA KAMPENI SUMBAWANGA,TUNDUMA, ILEJE NA MBOZI

MAAFISA JENERALI WASTAAFU 17 WA JWTZ WAAGWA.

PICHA YA RAIS ILIYOBAMBA WIKI HII

JUA AINA NNE ZA KABILA LA WASUKUMA

18 WAPITISHWA KUGOMBEA UONGOZI YANGA

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA