KOCHA WA MC ALGERS AIHOFIA YANGA


 "Naifahamu Yanga, sio Timu ngeni kwangu, ni moja ya Klabu za kisasa Ukanda wa Kusini mwa Jangwa la Sahara.. Siku wanacheza Fainali ya #CAFCC nilikuwepo uwanjani kama Ofisa wa CAF TV na nilipewa nafasi ya kufanya mazungumzo ya Karibu na Kocha wao wa Wakati huo Nasserdin Nabi na wachezaji kadhaa.. walicheza mchezo mzuri na asilimia kubwa ya wachezaji waliokuwa nao kipindi kile naona wanao mpaka sasa"


"Naamini Yanga watakuwa ni changamoto nzuri zaidi kwetu katika mashindano haya msimu huu na mechi yetu ijayo dhidi yao ni ya kuoneshana ubora wa Timu hizi mbili pande zote."


Maneno ya Kocha Mkuu wa MC Algers, Patrick Beaumelle jana baada ya mchezo wa League 1 dhidi ya Entente Sportive Setifienn

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

Soma Taarifa ya UTEUZI:Rais Jakaya Kikwete amemteua Dkt. Ben E. Moshi kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Kampuni ya PUMA Energy (zamani ilijulikana kama BP Ltd)

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

OWM–TAMISEMI YASHINDA TUZO YA MABADILIKO YA KIDIJITALI KATIKA TEHAMA AWARDS 2026

BINTI WA KITANZANIA GLORIA MAJULE ASHINDA TUZO YA UANDISHI BORA WA FILAMU YA MALARIA MAREKANI ‎

VIONGOZI NA WATENDAJI WA MATAWI UVCCM PANGANI WANOLEWA

MAMBO 16 USIYOYAJUA KUHUSU RAIS MSTAAFU DKT. JAKAYA KIKWETE

HIZI HAPA TAKWIMU ZA PETER SHALULILE MCHEZAJI MPYA WA YANGA SC 🔰 🔥