SIMBA KUZINDUA VIPINDI VYA TV, KUBORESHA TOVUTI

Ofisa Habari wa Klabu ya Simba, Ezekiel Kamwaga (kushoto) akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, kuhusu uzinduzi wa vipindi vya klabu hiyo katika Kituo cha Televisheni cha Clouds pamoja na maandalizi ya mechi dhidi ya Kiyovu ya Rwanda ya Kombe la Shirikisho Afrika.
Baadhi ya waandishi wa habari wakiwa kazini katika mkutano huo uliofanyika Makao Makuu ya Klabu ya Simba leo

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

DKT. MIGIRO AKIWASHA KAMPENI ZA DKT. SAMIA MAKAMBAKO

MBINU ZITAKAZOKUFANYA USIISHIWE PESA

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

KIGOGO WA CHADEMA AHAMIA CCM