TATHIMIN YA MBIO ZA MWENGE- MOROGORO

Wanajeshi wawili wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania. ( Kushoto ) ni Luten Tanu Oscar Mlowezi 521 KJ , na wa (kwanza kulia ) ni Luten Mary Shayo 501 KJ waliofikisha Mwenge wa Uhuru kwenye Kilele cha Mlima Kilimanjaro wakitoa Ushuhuda wao kwenye Mkutano wa Tathimin ya Mbio za mwenge Mkoani Morogoro leo
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Ustawi wa Jamii na Maendeleo ya Vijana, Wanawake na Watoto Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Msham Abdulla Khamis aliesimama katikati akifunga mkutano wa Tathimin ya mbio za Mwenge wa Uhuru na wiki ya Vijana katika Ukumbi wa Edema Mkoano Morogoro jana .
Baadhi ya viongozi waandamizi wa Kitaifa na waandaaji wa sherehe za Mwenge wakiwa kwenye tathimin ya mbio za Mwenge na wiki ya vijana wakati wa mkutano wao uliofanyika kwenye Ukumbi wa Edema Mkoani Morogoro leo wakiwa kwenye majadiliani ya kina .
Kamisaa wa Tume ya Sensa ya Taifa Mhe. Paul Kimiti akiongea na Viongozi na Waandaji wa Mbio za Mwenge Kitaifa kwenye mkutano wao wa kutathimin mbio za Mwenge uliofanyika kwenye Ukumbi wa Edema Mkoani Morogoro leo.

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Ustawi wa Jamii na Maendeleo ya Vijana, Wanawake na Watoto Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Msham Abdulla Khamis wa pili kulia , akiwatambulisha Wanajeshi wawili wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania ndugu Tanu Mlowezi kushoto na Mary Shayo Kulia waliofikisha Mwenge wa Uhuru kwenye Mlima Kilimanjaro, Wengine ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari ,Vijana ,Utamaduni na Michezo mama Sihaba Nkinga wa tatu kulia wengine ni Kaimu Mkurugenzi wa Vijana ndugu James Kajugusi wa nne kulia na wa kwanza kulia ni Mkurugenzi Msaidizi wa Vijana Dkt. Steven Kissui kwenye mkutano wa Tathimin ya mbio za Mwenge uliofanyika kwenye Ukumbi wa Edema Mkoani Morogoro leo. (KWA HISANI YA FUUL SHANGWE BLOG)

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

CHAMA KIPYA CHA WALIMU WAMUOMBA RAIS SAMIA AINGILE KATI MAKATO YA WANACHAMA WAO

TOFAUTI YA WATU WA DAR NA WA MKOANI NI HUU

IBENGE: YANGA SC WATAFUZU HATUA YA ROBO FAINALI.

NILIYOYABAINI KATIKA TRENI YA SGR DAR ,MORO HADI DODOMA … KADOGOSA REKEBISHENI MAMBO HAYA MTANIKUMBUKA