VURUGU ZILIVYOPAMBA MOTO SONGEA LEO

Askari wakimdhibiti mmoja wa vijana walioandamana mjini songea leo, wakipinga kitendo cha wenzao kuawa na watu wasiokjulikana. Mpaka sasa indaiwa Watu watatu wameshauawa kwenye maandamano hayo. (PICHA NA MUHIDIN AMRI)
Polisi wakiondoa magogo yaliyokuwa yamewekwa na waandamanaji mjiniSongea leo
Askari wakiondoa mkokoteni barabarani
Polisi wakiwa wamewaweka chini ya ulinzi baandhi ya vijana walioandamana mjini Songea leo kuishinikiza Serikali kufanya uchunguzi wa haraka wa vifo vya watu wanaouawa na watu wasiojulikana ambapo inadaiwa kuwa baadhi ya maiti zinapatikana zikiwa zimenyofolewa sehemu za siri

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

DUNIA NI KATILI SANA KWA MWANAUME MASIKINI

MWANAUME USIPITWE NA HILI, INASIKITISHA...?!!!

HUYU NDIYE MWANAMKE WA KUOA

RAIS SAMIA AYATAKA MASHINDANO YA MISS WORLD 2027

DIARRA KIPA BORA TANZANIA

CHINYELE ACHUKUA FOMU KUOMBA RIDHAA YA KUGOMBEA UBUNGE DODOMA MJINI