WAZIRI NGELEJA ZIARANI SINGIDA


Bango la kampuni ya Tan Discovery likiwa katika eneo la uzinduzi wa kituo cha London, katika wilaya ya Manyoni Mkoani Singida, ambacho kitakodisha na kukopesha wachimbaji wadogo, vifaa vya kuchimba dhahabu.
Waziri wa madini na nishati, William Maganga Ngeleja akikata utepe wa kuzindua kituo hicho, leo jumamosi, kushoto kwake ni mkurugenzi mkuu wa kampuni ya Tan Discovery inayokodisha na kukopesha vifaa vya uchimbaji wadini kwa wachimbaji wadogo nchini, Bw. Rogers Sezinga, kulia kwake ni mwakilishi wa mkuu mkoa Singida, Bw. Marando na diwani wa kata ya Makuru, Bw. Matonya.
Mkurugenzi wa kampuni ya Tan Discovery, inayokodisha na kukopesha vifaa vya uchimbaji madini ya dhahabu, Bw. Rogers Sezinga
Baadhi ya wachimbaji wadogo wa dhahabu,machimbo ya London, wilayani Manyoni wakimsikiliza Ngeleja.
Waziri Ngeleja akizungumza na wachimbaji wa dhahabu katika kijiji cha London, wilayani Manyoni-Picha na elisante John.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

MAPACHA WATATU FAMILIA YA MWAIKENDA WAPATA KIPAIMARA

MVUA KUBWA KUNYESHA MIKOA 20

AINA 4 ZA WANAWAKE WASIOWEZA KUDUMISHA NDOA.

MIKOA 10 YENYE KIPATO KIKUBWA ZAIDI KWA MTU MMOJA MMOJA

BODABODA ALIPWA PIKIPIKI BAADA KUSAFIRI KWA BODA KWA SAA 10 MBEYA HADI DAR