JK AWAAPISHA WAKUU WAPYA WA MIKOA MIPYA MINNE

Rais Jakaya Kikwete (kushoto) akimwapisha Aseri Msangi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Njombe, katika hafla ya kuwaapisha wakuu wa mikoa mipya minne, Ikulu, Dar es Salaam
Mkuu mpya wa Mkoa wa Geita, Magalula Magalula (kulia), akitia saini kwenye fomu ya kiapo baada ya kuapishwa na Rais Jakaya Kikwete (kushoto), Ikulu, Dar es Salaam
Mkuu mpya wa Mkoa wa Katavi, Rajab Rutenge akila kiapo kushika wadhifa huo Ikulu, Dar es Salaam jana.

Rais Jakatya Kikwete (katikati) akiwa na wakuu wapya wa mikoa mipya minne baada ya kuwaapisha Ikulu, Dar es Salaam . Kutoka kushoto ni Rajab Rutenge (Katavi), Magalula Magalula (Geita),Pascal Mabiti (Simiyu) na Aseri Msangi (Njombe). (PICHA ZOTE NA KAMANDA MWAIKENDA)
Rais Jakaya Kikwete (kushoto) na Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Pascal Mabiti wakifurahia jambo wakati wa hafla ya kuapishwa kwa wakuu wapya wa mikoa mipya minne.

                                             Wakipata maelekezo kabla ya kuapishwa
                                           Mkuu wa mpya wa Mkoa mpya wa Njombe Aseri Msangi
                                    Mkuu mpya wa Mkoa mpya wa Geita Magalula s. Magalula
                                            Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Rajab Rutenge
                                   Mkuu wa mpya wa Mkoa mpya wa Simiyu, Pascal Mabiti
                             Makamu wa Rais, Dk. Bilal akiwasalimia wakuu wapya wa mikoa minne
                                 JK akizungumza baada ya kuwaapisha wakuu wa mikoa mipya
 Wanahabari wakimhoji Mkuu wa Mkoa mpya wa Simiyu, Pascal Mabiti
                          JK akizungumza na ndugu za Mkuu wa Mkoa mpya wa Katavi, Rajab Rutenge
JK, na Pinda wakiwa katika picha ya pamoja na Mkuu wa Mkoa mpya wa Katavi, Rajabu Rutenge na baadhi ya wageni waalikwa

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MUSTAFA MKULO AFARIKI DUNIA

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

MAKALLA ASHANGILIWA BUNGENI

DK NCHIMBI ATINGA MKOANI KATAVI

BASHASHA LATAWALA NCHIMBI ALIPOLAKIWA NA CHONGOLO SONGWE

DKT NCHIMBI AKARIBISHWA KIMILA NYUMBANI RUVUMA

DKT NCHIMBI AZURU KABURI LA JOHN KOMBA LITUHI, NYASA

DKT NCHIMBI AAGIZA UJENZI UWANJA WA NDEGE SUMBAWANGA UKAMILIKE HARAKA