KAMPENI ZA UCHAGUZI ARUMERU MASHARIKI: Sioi aendelea na kampeni Kata ya Ngwaranga

Mgombea wa CCM Ubunge jimbo la Arumeru Mashariki, Sioi Sumari na Mratibu wa kampeni za CCM, Mwigulu Nchemba wakisalimia wananchi walipowasili kata ya Ngwaranga kwa ajili ya mkutano wa kampeni jimboni humo, jana.

Wananchi wakiulaki kwa shamrashamra msafara wa Sioi kijiji cha Ngwaranga.

Mgombea wa CCM jimbo la Arumeru Mashariki, Sioi Sumari akishauriwa jambo na Mbunge wa Hanang, Mary Nagu wakati wa mkutano wa kampeni za CCM katika kata ya Ngwaranga, jimboni humo, jana. Katikati ni Katibu wa NEC, Oganaizesheni CCM, Asha Abdallah Juma.

Mwigulu akimnadi Sioi Ngwaranga.

Mtoto Moreen Ajuaeli mwenye umri wa miezi minane akiwa amepanpwa na mama yake, Rose Shayo (kushoto) kwa skafu ya CCM, kwenye mkutano wa kamepeni za CCM, kijiji cha Ngwaranga.

Mgombea wa CCM Sioi Sumari.

Mratibu kampeni za CCM Mwigulu Nchemba.

Mfanyabiashara ya genge nyumbani kwake, eneo la Liganga, Usa River, akimnadi kiana mgombea ubunge Arumeru Mashariki Sioi Sumari kwa kuchanganya bango la mgombea huyo na bidhaa zake, jana (Picha zote na Bashir Nkoromo).

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MUSTAFA MKULO AFARIKI DUNIA

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

MAKALLA ASHANGILIWA BUNGENI

DK NCHIMBI ATINGA MKOANI KATAVI

BASHASHA LATAWALA NCHIMBI ALIPOLAKIWA NA CHONGOLO SONGWE

NCHIMBI AFUNGUA KONGAMANO LA MAADHIMISHO YA KUMBUKIZI YA MWALIMU NYERERE

DKT NCHIMBI AKARIBISHWA KIMILA NYUMBANI RUVUMA