MAASHIMISHO SIKU YA WANAWAKE WAKRISTO (WWK)

  
 Mama Mchungaji Elizabeth Mboma (53) akionesha vazi la shule lenye staha ili kuwaonya mabinti wanaovaa sare za ajabu shuleni, wakati wa maadhimisho ya siku ya Wanawake Wakristo (WWK) katika Kanisa la TAG Mwenge jijini Dar es Salaam juzi, ambapo maonesho ya mavazi ilikuwa ni sehemu ya maadhimisho hayo. Wengine ni  wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Alpha wanaosali katika kanisa hilo. (NA MPIGAPICHA WETU)
 Mchg. Tumaini Mwanyonga akiangalia keki yenye umbo la Biblia mara baada ya kuzindua maonesho ya bidhaa ya bidhaa za chama cha Wanawake Wakristo (WWK) wa Kanisa la TAG Mwenge jijini Dar es Salaam jana. Wa pili kulia ni Makamu Mwenyekiti wa WWK Mwenge, Bi. Beatrice Simba akitoa maelezo kuhusu keki hiyo.
Wanawake Wakristo (WWK) wa Kanisa la TAG Mwenge jijini Dar es Salaam wakiingia kanisani ili kuanza ibada maalum ya kuadhimisha siku yao jana.
   Mama Mchg. Patience Mitimingi akiongoza wimbo maalum wakati wa kuadhimisha siku ya Wanawake Wakristo (WWK) katika Kanisa la TAG Mwenge jijini Dar es Salaam jana. Kulia ni Bi. Mariam Wanga akifurahia wimbo huo.
 2
Akinamama wa TAG Mwenge wakionesha mitindo ya mavazi ya jioni yenye staha ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya siku ya Wanawake Wakristo (WWK) katika Kanisa la TAG Mwenge jijini Dar es Salaam jana. PICHA ZOTE NA IRENE BWIRE
 

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.