MAKAMU WA RAIS DKT BILAL AFUNGUA MKUTANO WA SIKU MBILI WA KIMATAIFA WA KUPEANA UZOEFU KUHUSU MALIPO YANAYOTOKA KWA WAFADHILI KWA UFANISI

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Mohamed Gharib Bilal akisalimiana na mkurugenzi mtendaji wa Tume ya Kikristo ya Huduma za jamii Bw. Peter Maduki (kushoto) mara baada ya kufungua mkutano wa kimataifa unaojadili utoaji wa fedha za miradi ya afya kulingana na huduma zinazotolewa katika vituo husika vya afya mkutano ambao umewashirikisha wahisani na wajumbe kutoka nchi 15 za Afrika.Katikati ni Waziri wa Afya wa Burundi Dkt.Sabine Ntakarutimana.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Mohamed Gharib Bilal akiwa katika picha yya pamoja na viongozi wa Wizara ya Afya na Ustawi kutoka Tanzania na baadhi Jamii na viongozi wafadhili wa mkutano huo wakifuatilia mada mbalimbali zilizokuwa zikiwasilishwa wakati wa mkutano huo leo jijini Dar es salaam.
Washiriki wa mkutano unaojadili utoaji wa fedha za miradi ya afya kulingana na huduma za afya zinazotolewa kutoka nchi 15 za Afrika wakiendelea na mkutano huo leo jijini Dar es salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dkt.Haji Mponda, baada ya kufungua mkutano wa siku mbili wa Kimataifa wa kujadili na kubadilishana mawazo kuhusu ufadhili wa miradi yenye ufanisi katika nchi saba za Afrika Mashariki, ulioanza leo Machi 6, 2012 jijini Dar es Salaam. Picha na Muhidin Sufiani-OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya washiriki wa Mkutano wa Kimataifa wa siku mbili wenye lengo la kujadili na kubadilishana mawazo kuhusu ufadhili wa miradi yenye ufanisi katika nchi saba za Afrika Mashariki, ulioanza leo Machi 6, 2012 jijini Dar es Salaam. Picha na Muhidin Sufiani-OMR

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MUSTAFA MKULO AFARIKI DUNIA

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

MAKALLA ASHANGILIWA BUNGENI

DK NCHIMBI ATINGA MKOANI KATAVI

BASHASHA LATAWALA NCHIMBI ALIPOLAKIWA NA CHONGOLO SONGWE

NCHIMBI AFUNGUA KONGAMANO LA MAADHIMISHO YA KUMBUKIZI YA MWALIMU NYERERE

DKT NCHIMBI AKARIBISHWA KIMILA NYUMBANI RUVUMA