MILLEN MAGESE KUSAKA WANAMITINDO TANZANIA

 Mwanamitindi wa Kimataifa, Millen Magese akiwa na Lucy Kihwele alipokuwa akiingia ukumbi wa Savanna, Hoteli ya JB Bolmonte, Dar es Salaam leo kuzungumza na wanahabari kuhusu mpango wake wa
kuwatafuta wanamitindo wawili wa kike na wa kiume watakaoshiriki kwa mara ya kwanza katika maonesho ya wiki ya Mavazi ya Afrika Kusini April Mosi, mwaka huu. Kulia  ni Mkurugenzi wa Kampuni ya Ngongoseke PR Consultancy, Lucy Kihwele. (PICHA ZOTE NA MWAIKENDA)
 Magese akizungumza na vyombo vya habari leo
 Wanahabari wakiwa kazini
                                                          Magese akisisitiza jambo
Mwanamitindo wa Kimataifa wa Tanzania, Millen Magesse, akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari, Dar es Salaam, kuhusu mpango wake wa kuwatafuta wanamitindo wawili wa kike na wa kiume watakaoshiriki kwa mara ya kwanza katika maonesho ya wiki ya Mavazi ya Afrika Kusini April Mosi, mwaka huu. Kulia  ni Mkurugenzi wa Kampuni ya Ngongoseke PR Consultancy,
                                        Magese akionesha umaridadi wake mbele ya wanahabari leo


             Magese akipiga picha na Mwandishi wa habari wa gazeti la Nipashe, Some Ng'itu
                                Magese akipiga picha na Fred Ogoti wa The Guardian
                                                Magse akiwa na Anjela Msangi wa TBC
Magese akizungumza na Benny Kisaka, mwaandaji wa mashindano ya Miss Temeke. Mwanamitindo huyo kabla ya kuwa Miss Tanzania, alishinda Taji la Miss Temeke

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

WALIOKUWA WABUNGE WALIOPITIWA NA MKASI WA WAJUMBE

SPIKA MSTAAFU NDUGAI AFARIKI DUNIA

USAJILI ULIVYO HADI SASA....

MWENYE MASIKIO NA ASIKIE....

RAIS SAMIA AMUONDOLEA POLEPOLE HADHI YA UBALOZI

RAIS SAMIA AYATAKA MASHINDANO YA MISS WORLD 2027

RC KIHONGOSI AELEZA MAFANIKIO LUKUKI MKOA ARUSHA