MPIGANAJI SAMSON MBEGA AMEAGA DUNIA LEO

Mpiganaji mwenzetu katika tasnia ya habari nchini, Samson Mbega *(pichani) amefariki Dunia leo katika Hospitali ya Regency, Dar es Salaam alikokuwa amelazwa kwa matibabu.

Marehemu Mbega ambaye mpaka mauti yanamkuta alikuwa anafania kazi katika gazeti la Nipashe, amewahi pia fanyia kazi Shirika la Habari Tanzania (SHIHATA), Kampuni ya Business Times na gazeti la Ngurumo za Simba.

Msiba upo Temeke Mwisho ambako unafanyika pia utaratibu wa kumuaga na hatimaye kusafirishwa kwenda kwao Kisarawe, Pwani kwa maszishi.

Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi, Amin

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

Soma Taarifa ya UTEUZI:Rais Jakaya Kikwete amemteua Dkt. Ben E. Moshi kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Kampuni ya PUMA Energy (zamani ilijulikana kama BP Ltd)

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

MAAFISA JENERALI WASTAAFU 17 WA JWTZ WAAGWA.

PICHA YA RAIS ILIYOBAMBA WIKI HII

JUA AINA NNE ZA KABILA LA WASUKUMA

18 WAPITISHWA KUGOMBEA UONGOZI YANGA

DK MAGUFULI ATANGAZA KIAMA CHA MAJAMBAZI, WEZI NA MAFISADI KATIKA MIKUTANO YA KAMPENI SUMBAWANGA,TUNDUMA, ILEJE NA MBOZI

BINTI WA KITANZANIA GLORIA MAJULE ASHINDA TUZO YA UANDISHI BORA WA FILAMU YA MALARIA MAREKANI ‎