SIMBA INAOONGOZA MABAO 2-0 DHIDI YA KIYOVU YA RWANDA

 Mashabiki wa Simba wakiwa na furaha kabla ya kuanza kwa mechi dhidi ya Kiyovu Fc ya Rwanda katika michuano ya kuwania Kombe la Shirikisho Afrika leo kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam. Simba sasa inaongoza mabao 2-0
Wachezaji wa Kiyovu ya Rwanda wakiomba dua muda mfupi kabla ya kuanza kipute dhidi ya Simba. Kwa hisani ya Blog ya Jamii

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

Soma Taarifa ya UTEUZI:Rais Jakaya Kikwete amemteua Dkt. Ben E. Moshi kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Kampuni ya PUMA Energy (zamani ilijulikana kama BP Ltd)

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

MAAFISA JENERALI WASTAAFU 17 WA JWTZ WAAGWA.

PICHA YA RAIS ILIYOBAMBA WIKI HII

18 WAPITISHWA KUGOMBEA UONGOZI YANGA

JUA AINA NNE ZA KABILA LA WASUKUMA

DK MAGUFULI ATANGAZA KIAMA CHA MAJAMBAZI, WEZI NA MAFISADI KATIKA MIKUTANO YA KAMPENI SUMBAWANGA,TUNDUMA, ILEJE NA MBOZI

BINTI WA KITANZANIA GLORIA MAJULE ASHINDA TUZO YA UANDISHI BORA WA FILAMU YA MALARIA MAREKANI ‎