KONGAMANO LA KIGODA CHA MWALIMU NYERERE LANOGA

Mwandishi mkongwe,  Jenerali Ulimwengu akisoma kitabu cha Mwalimu Nyerere kwa washiriki wa Kongamano hilo.


Rais wa awamu ya tatu Benjamini Mkapa (wa pili kulia), akimsikiliza mwandishi mkongwe Jenerali Ulimwengu wakati akipitia yaliyoandikwa kwenye kitabu cha Mwalimu Nyerere kabla ya kuzinduliwa katika Kongamano la nne la kitaaluma la Julius Nyerere lililofikia tamati Ukumbi wa Nkurumah Chuo Kikuu cha Dar es Salaam(UDSM),
 Waziri Mkuu wa zamani, Dk. Salim Ahmed Salim (kushoto) akiwa na akiwa na mwansiasa mkongwe, Joseph Butiku (kushoto kwake) wakisikiliza kwa makini wakati wa kongamano hilo.
 Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Profesa Mukandara (kushoto) akiwa na Profesa Issa Shivji
Mwezeshaji wa Kongamano la Kigoda cha Mwalimu Nyerere, Profesa Micere Mugo (kulia), kutoka Kenya, akikata utepe kuashiria uzinduzi wa kitabu cha  Mwalimu Nyerere kinachoelezea makala na hotuba zake katika Kongamano la nne la Kitaaluma la Julius Nyerere lililofikia tamati Ukumbi wa Nkurumah Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), jana. Kushoto ni Mwenyekiti wa Kigoda cha Nyerere, Profesa Issa Shivji. (PICHA NA DOTTO MWAIBALE)
Baadhi ya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), wakitoka baada ya kuhudhuria kongamano hilo.
2696

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

WALIOKUWA WABUNGE WALIOPITIWA NA MKASI WA WAJUMBE

SPIKA MSTAAFU NDUGAI AFARIKI DUNIA

USAJILI ULIVYO HADI SASA....

MWENYE MASIKIO NA ASIKIE....

RAIS SAMIA AMUONDOLEA POLEPOLE HADHI YA UBALOZI

RAIS SAMIA AYATAKA MASHINDANO YA MISS WORLD 2027

RC KIHONGOSI AELEZA MAFANIKIO LUKUKI MKOA ARUSHA