MAADHIMISHO YA MIAKA 48 YA MUUNGANO YAFANA

Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama,  Rais Jakaya Kikwete, akiwapungia mkono wananchi alipowasili katika sherehe za maadhimisho ya miaka 48 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, leo kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam. (PICHA ZOTE NA KAMANDA MWAIKENDA)
Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama,  Rais Jakaya Kikwete, akikagua kikosi cha Wanawake cha Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ), wakati wa maadhimisho ya miaka 48 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar
                                             JK akikagua kikosi cha wanawake Magereza
                                JK akisalimiana na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda
                                     JK akisalimiana na mke wake, Mama Salma Kikwete
                                  JK akisalimiana na Rais wa Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi
Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama,  Rais Jakaya Kikwete (kulia), akisalimiana na Mjane wa Mwasisi wa Muungano, Rais wa kwanza wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Hayati Abeid Aman Karume, Mama Fatma Karume
 JK akiwa na Mkuu wa Majeshi, Jenerali Davis Mwamunyange (katikati) na Makamu wa wake, Dk Bilal wakati wimbo wa taifa ukipigwa.
                           Jukwaa la viongozi mbalimbali wakati wimbo wa Taiga ukipigwa
                                         Sehemu ya watu waliohudhuria maadhimisho hayo
                                               Wapigapicha wakiwa bize na kazi yao
                            Warembo wakishuhudia gwaride ikipita kwa heshima mbele ya rais

                                Watoto wa halaiki wakionesha rangi za bendera ya Taifa
                                                   Watoto wa Halaiki wakifanya mambo

 Spika wa zamani, Pius Msekwa akisalimiana na Waziri Mkuu, Pinda
                             Rais wa Awamu ya Tatu, Benjamin Mkapa akikatiza Jukwaa Kuu
 Rais mstaafu wa Zanzibar, Aman Abeid Karume (kulia) akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Ndani, Shamsi Vuai Nahodha.
 Baadhi ya waliochanganya udongo wakati wa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar 1964, mstari wa kati , wakiwa katika maadhimisho hayo
                                Kikosi Maalumu cha Magereza (KM), kikionesha umahiri
                                             Moja kofia iliyomdondoka Askari ikiwa chini
 Trafiki akiwa ameiokota kofia hiyo
Bibi kizee akiondoka baada ya kushuhudia maadhimisho hayo

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

AINA 4 ZA WANAWAKE WASIOWEZA KUDUMISHA NDOA.

MVUA KUBWA KUNYESHA MIKOA 20

MIKOA 10 YENYE KIPATO KIKUBWA ZAIDI KWA MTU MMOJA MMOJA

BODABODA ALIPWA PIKIPIKI BAADA KUSAFIRI KWA BODA KWA SAA 10 MBEYA HADI DAR

CONFIRMED HAWA NDIO WACHEZAJI WETU 12 WA KIGENI 🦾