Waziri Mkuu Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Arumeru Mashariki , Joshua Nassari kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma, Aprili 18,2012.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Mbunge wa Busega, Dr.Titus Kamani akisalimiana na madaktari wanafunzi wa Chuo cha Bugando, Mwanza ambao Aprili 18, 2012 walitembelea Bunge Mjini Dodoma.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
𝗥𝗔𝗜𝗦 𝗗𝗞𝗧. 𝗦𝗔𝗠𝗜𝗔 𝗔𝗠𝗘𝗪𝗔𝗝𝗘𝗡𝗚𝗘𝗔 𝗪𝗔𝗡𝗔𝗪𝗔𝗞𝗘 𝗠𝗢𝗬𝗢 𝗪𝗔 𝗨𝗝𝗔𝗦𝗜𝗟𝗜 𝗡𝗔 𝗞𝗨𝗝𝗜𝗔𝗠𝗜𝗡𝗜 𝘼𝙢𝙚𝙚𝙡𝙚𝙯𝙖 𝙆𝙖𝙩𝙞𝙗𝙪 𝙈𝙠𝙪𝙪 𝙢𝙨𝙩𝙖𝙖𝙛𝙪 𝙬𝙖 𝘾𝘾𝙈, 𝘿𝙠𝙩. 𝘽𝙖𝙨𝙝𝙞𝙧𝙪 𝘼𝙡𝙡𝙮 "Kwa muda mrefu katika historia ya siasa Duniani kote, nafasi ya mwanamke imekuwa nafasi ya pili kanakwamba utu wake ni nusu..duniani kote ajenda ya kuweka usawa kwa wanaume na wanawake imekuwa mfupa mgumu.." "..CCM kwasababu ya msimamo wetu wa kifalsafa na kiitikadi, usawa wa wanaume na wanawake si suala la hiari ni saula la lazima.." "..katika uongozi wako Rais Dkt. Samia...kitakwimu katika kipindi ulichoingia kama Mkuu wa nchi na Mwenyekiti wa chama (CCM) , kitakwimu angalieni maamuzi, sera, miradi na namna utekelezaji wake ulivyoinua hali za akina Mama.." Dkt. Bashiru ameyasema hayo leo tarehe 9 Septemba 2025 wakati akizungumza na maelfu ya Wananchi wa Singida Mjini waliojitokeza katika uwanja wa Bombadia kumlaki na kumsikiliza Mgombea...
Comments