Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akijaribu kofia aliyopewa kama zawadi na uongozi wa taasisi ya utafiti wa kilimo (Brazilian Agriculture Research Enterprise - EMBRAPA) alipoitembelea April 17, 2012 nje kidogo ya jiji la Brasilia.
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na ujumbe wake wakipata maelezo kuhusu ukulima wa nyanya wa kisasa katika taasisi ya utafiti wa kilimo (Brazilian Agriculture Research Enterprise - EMBRAPA) walipoitembelea April 17, 2012 nje kidogo ya jiji la Brasilia.
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akipata maelezo kuhusu mashine ya kisasa ya kutambua muda wa kumwagilia maji shambani iliyoundwa na taasisi ya utafiti wa kilimo (Brazilian Agriculture Research Enterprise - EMBRAPA) walipoitembelea April 17, 2012 nje kidogo ya jiji la Brasilia.
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na ujumbe wake wakipata maelezo kuhusu taasisi ya utafiti wa kilimo (Brazilian Agriculture Research Enterprise - EMBRAPA) walipoitembelea April 17, 2012 nje kidogo ya jiji la Brasilia.Picha na IKULU

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA WA MSALATO DODOMA KUANZA KUTUMIKA SEPTEMBA 2026

BALOZI WA CHINA KUPITIA DKT. MAJULE APELEKA NEEMA KWA WANAWAKE DODOMA

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA